Hiki chama kilianzishwa na Isaack Ruto,alipokuwa Gavana,tangu aliposhindwa kwenye uchaguzi,hiki chama kimefifia sana.
William Ruto ambaye kwa sasa ndio Deputy president,Alikuwa kwenye chama Cha Jubilee yeye na Raisi Uhuru,na ndio chama kilichowaingiza Madarakani.
Tangu wameshindwana,William Ruto yupo kwenye chama Cha UDA,ambacho anategemea kukitumia katika kugombania Uraisi hapo mwakani august 2022.
Wanachama wengi,wabunge wanaomuunga mkono William Ruto,nao wamejitoa Jubilee na wapo UDA.