Nimekuwa nikitafakari sana kwanini Nchi wazungumza kiswahili Masikini?Najua kuna nchi nyingine zisizozungumza kiswahili ni Masikini, lakini nimegundua kuwa utamaduni wa wazungumza kiswahili ni chachu ya mambo yafuatayo: Ujinga wa kielimu, ushirikina, maendeleo duni, siasa za kinafiki(kuama vyama kwa kisingizio cha haki yake na kudharau haki ya aliyemchagua bila kujali chama alichotoka).kupeana moyo kijinga kijinga, kufuata mkumbo wa mambo hata ambayo hanaya tija,kushabikia timu za ulaya na kuvaa majezi mfan ya man U,Arsenal,Chelsea, kujazana uwanjani kinafiki kushabikia timu za mataifa yao lakini huoni ata mmoja aliyevaa jezi ya timu yao kuhamasisha kama tunavyoona nchi wasio waswahili.viongozi kuwa na siasa za maji taka, kupora fomu za wagombea, nikitaja machache. Tazama ramani ya Afrika Mashari alafu utafakari.