Kwanini watusi wana roho mbaya sana?

Kwanini watusi wana roho mbaya sana?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
Kama Yule Muhoozi wa Uganda

Vita iliyotokea ya watusi na wahutu mwaka 1972,

Ndo ilisababisha warundi wanaitwa Wakimbizi na ndio pigo La Watanzani wengi Wamekua wakilitumia kama Fimbo ya kuwachapia watu wa Burundi,

Na haya yote yalisababishwa na kabila la watusi Baada ya kuona Wahutu wako Na Akili ya kimaisha,
Issue Iko wazi watanzania wanachukulia kuwa warundi wako na roho mbaya ila hawajui kutofautisha kama Kuna kabila la Wahutu na kabila la watusi,

Ukimkalibisha mtusi Nyumbani kwako kiukweli utawachukia Warundi maisha yako yote,
Ila ukimkalibisha Muhutu,

Hutokaa useme warundi Wana roho mbaya, Mwaka 1990 Ilitokea Vita ya Wakimbizi Walio Toka mburundi nao walikua ni wahutu mwaka 19972 ,
Na Bado walishindwa kufauru,

Ndo serkali ya Tanzania ikachukua jukumu la kuongea na Serkali ya Burundi,

Ndo ikaamuliwa Wa rundi walio kimbia kutoka kutoka Burundi wapewe uraia wa Tanzania Kwa wale Watakao kuwa tayar kurudi Nchini kwako watarudishwa Kwa Njia ya Halali na Salama,
Serkali ya Tanzania ilijitolea Kwa Hilo,

Watanzania sio watu wabaya ila warundi Kabila la Watusi hiyo iko wanaroho mbaya sana, Wanatumia nguvu kuendesha madaraka wanataka kabila lao ndo liongoze Nchi mda wote,

Na warundi wangi wapo Tanzania waliopewa uraia Na walipewa uhuru wakuhamia mkoa wowte Wanao Ona unawafaa,

Ila changamoto Iko Sehem1 hawajikubali,

Ukiwaulza kabila gani wanakwambia mi Muha kitu Ambacho kinafanya watu wakigoma waonekani nao ni warundi,

Kiukwel hakuna Asie penda kukaa kwenye Nchi yake ila Burundi kilichoiharibu nikuwa na makabila mawili Na kibiya Zaidy wakakaa kabila la watusi
 
Back
Top Bottom