Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kila mtu Ana goals zake mkuuDegree moja inatosha MASTAZ NA pihechidii ni upotevu wa nguvu,muda,na rasilimali fedha .
Matakwa ya kimuundo 1st dwgree inatoahaNimefuatilia hoja za viongozi wengi wa Umma wenye PhD na Masters, kila wanaposimama kuzungumzia mstakabali wa nchi yetu wamekuwa wepesi sana KUTUDANGANYA.
Matumizi ya elimu za wasomi ambao ndio viongozi waandamizi wa Taifa letu hayaendani kabisa na kile wanachokichangia kwa Taifa.
Msemaji wa serikali ana PHd ila sikiliza hoja zake katika vipindi na maeneo mbalimbali utagundua lipo tatizo la kusema ukweli hapa nchini na tatizo linachangiwa na wasomi.
Msikilize Mbobezi wa sheria, Mzee wa Mambo ya nje anapozungumza kuhusu nchi yetu utagundua lipo gonjwa la uongo ndani yetu. Waziri wa Mambo ya nje alituaminisha sisi ni matajiri na kuwaita matajiri MABEBERU huku akijua tunao mabalozi nje wanaotuombea tupate misaada na wahisani, ni kulewa UONGO wa kisomi.
Nenda kutana na mtumishi wa Umma mwenye master's na Phd zungumza naye japo kwa dakika kadhaa unagundua wazi hata kile anachokifanya hakijui.
Najiuliza kwanini tunadhani tunahitaji wasomi wakubwa kuingoza sekta ya umma hapa Tanzania?
Nimefuatilia hoja za viongozi wengi wa Umma wenye PhD na Masters, kila wanaposimama kuzungumzia mstakabali wa nchi yetu wamekuwa wepesi sana KUTUDANGANYA.
Matumizi ya elimu za wasomi ambao ndio viongozi waandamizi wa Taifa letu hayaendani kabisa na kile wanachokichangia kwa Taifa.
Msemaji wa serikali ana PHd ila sikiliza hoja zake katika vipindi na maeneo mbalimbali utagundua lipo tatizo la kusema ukweli hapa nchini na tatizo linachangiwa na wasomi.
Msikilize Mbobezi wa sheria, Mzee wa Mambo ya nje anapozungumza kuhusu nchi yetu utagundua lipo gonjwa la uongo ndani yetu. Waziri wa Mambo ya nje alituaminisha sisi ni matajiri na kuwaita matajiri MABEBERU huku akijua tunao mabalozi nje wanaotuombea tupate misaada na wahisani, ni kulewa UONGO wa kisomi.
Nenda kutana na mtumishi wa Umma mwenye master's na Phd zungumza naye japo kwa dakika kadhaa unagundua wazi hata kile anachokifanya hakijui.
Najiuliza kwanini tunadhani tunahitaji wasomi wakubwa kuingoza sekta ya umma hapa Tanzania?
Kanifundisha health policy and planningNinavyoelewa mimi ma- professor wengi wa nchi za wenzetu huwa kwenye academic institutions wakifundisha na kuendelea kufanya research mbali mbali ambazo siku moja zitamuwezesha kushinda hata Nobel Prize. Vile vile huandika vitabu na publications mbali mbali kama njia moja wapo ya kujiingizia kipato na vile vile kuwa kama visiting lecturers kwenye university nyingine.
Hapa kwetu ni different story. Wengi wameingia kwenye siasa na kuzitupa academic credentials zao kapuni na kuwaacha watoto wetu vyuoni wakikosa hata wahadhiri wa kuwafundisha.
Ningependa kuona ma- professor wetu kwa mfano wa Math, basi anakuwa na hata you tube channel fulani hivi ya kuwasaidia vijana wetu kulielewa na kulipenda somo ambalo mpaka sasa ni kizungumkuti kwao. Tumeliona kwa kwa ma - professor wa nchi za ughaibuni.
To his credit, Nampongeza sana Professor Ngowi wa pale Mzumbe ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuwaelimisha wananchi katika masuala ya kiuchimi na budget kwenye media mbalimbali. Hivyo ameitendea haki jamii na na fani yake ya uchumi kwa ujumla.