Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?
Olewa mwaya, utalala na ile kitu usiku kucha, asubuhi, mchana, jioni, kila siku. Yani hamnaga raha kama hiyo. Wasikutishe hao
Kwa nini watu wanaiona ndoa kama kitu 'unique' sana?
Ndoa haifanyiki nje ya maisha ya kawaida ya mwanadamu..
Kama ambavyo mwanadamu nje ya ndoa anakosea halikadhalika kutakuwa na kukosana pia..
Na kama vile ambavyo nje ya ndoa kuna furaha obviously kwenye ndoa kuna furaha pia..
Kikubwa usidhani kuingia tu kwenye ndoa maisha yanasimama na kukusubiri..jipange na uende na movie..
We King'asti nikikukamataaaaaaa!!!!!Ndo mawazo potofu haya! Unaolewa na Asprin, mnakaa mbagala na ana nyumba ndogo sinza(ni mfano tu, ODM anaishi masaki na wakeze watatu). Anakunywa pombe hadi saa sita mostly. Huko sio kulala nayo kutwa na kuchwa! Manake atoke kazini, apite pombeni, nyumba ndogo ndo arudi,lol
olewa ila ujue kuna vijogoo vikipanda havishuki
Exactly.
Vikipanda wapi??
Mmh... Mnanifanya nirudi nyuma na haya maamuzi niliyonayo ya kutaka kuolewa...!!