Pasta Joshua
Member
- Aug 2, 2020
- 23
- 131
Kazi haina KPI, haina immediate supervisor, haina biweekly report.
Huitajiki kufika eneo la kazi saa 1:30 asubuhi. Hakuna anayekupigia simu kukuuliza lolote. Mshahara mnene na marupurupu kibao.
Baada ya miaka mitano, unakunja milioni 500.
Nionyeshe kazi gani bora kuliko hii.