Kwanini watu wengi wanalichukia jeshi la polisi na si majeshi mengine?

Hao polisi mnaowachukia hivi wasipofanya kazi masaa machache unadhani kitatokea nn......

wewe unaenda mshtakia mhalifu polisi hao hao wana cheza deal na mhalifu.....yaani wanamsanua mhalifu
mpaka hapo polisi hakuna kitu kabisa
 
zinc20

Naona kipigo walichokupa hadi kuandika unaweweseka mimi mbona nawapenda sana polisi.Ukiwaona kaa mbali nao usijitie kuwazomea au kuwaletea siasa.

Lazima wewe mmoja wa wazazi wako atakuwa polisi. Hao waliojaa rushwa na uonevu ni nani atawapenda! Mikono yao imejaa damu za watu.
 
wewe unaenda mshtakia mhalifu polisi hao hao wana cheza deal na mhalifu.....yaani wanamsanua mhalifu
mpaka hapo polisi hakuna kitu kabisa

Ndio baadhi ya polis I wakorofi Ila ni wachache hata hao jwtz mbona ndo majambaz weng wanatokea huko......katika msafara wa mamba na kenge wapo
 
Ndio baadhi ya polis I wakorofi Ila ni wachache hata hao jwtz mbona ndo majambaz weng wanatokea huko......katika msafara wa mamba na kenge wapo

polisi si ndy analinda raia na mali zake.....basi ni kinyume yake
 
Lazima wewe mmoja wa wazazi wako atakuwa polisi. Hao waliojaa rushwa na uonevu ni nani atawapenda! Mikono yao imejaa damu za watu.

huyo mboga 7 tu atakuwa........anajifanya kuwatetea
ngoja siku akutane nao ataona machungu yake.
 
Habari zenu wana JF!

Mh yeah, well! Nimekaa chini nikawaza sana nikakosa majibu jinsi wananchi wanavyolichukia jeshi la polisi. Wananchi hawawapendi askari polisi, wanawachukia kupita maelezo, ikitokea askari kapata janga, ndio furaha yao hulipuka na kushadadia kwa maneno ya staha. Wengine husema, 'bora afe', wapigwe tu, mara wengine huwaita kwa jina lingine jipya 'Policcm'.

Sasa mimi nashangaa sana, Kwanini chombo cha dola kinahusishwa na mambo ya siasa? Kwa Ninavyofahamu mimi, chombo cha dola ni mali ya serikali, na serikali na siasa ni vitu viwili tofauti. Sasa Kwanini kulituhumu jeshi la polisi kuwa ni la chama cha CCM? Kwani CCM ina chuo cha kuzalishia Polisi? Chuo chao kiko wapi?

Kwa Ninavyojua mimi ni kwamba serikali ndio inachuo chakuzalisha askari kilichopo Moshi, na askari ni kwa ajili ya wananchi, sasa kwanini raia wawachukie watu ambao wamewapa kwa hiari yao kulinda usalama wao na mali zao? Chuki Za nini juu ya jeshi la polisi?
Siyo Tanzania tu hata nchi Ilizoendelea polisi hawapendani na RAIA.
Point hapo ni polisi kujihusisha na siasa jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi yao na pia kisheria hawako sawa
 
Hawapolisi nirahisi kukutananao coz wao ndowanadili nasisi mudawote so nirahisikuonamapungufayao tofauti na majeshi mengine.
 
wengi wamejiunga sio kwa sababu ya elimu yao bali kujuana ,na wameriti mitaala ya kikoloni kukandamiza raia hawana kabisa utu,marekani ukitaka kujiua wanakubembeleza huku ndio wanaweza kukuua kabisa ,wengi shule hamna wanatumia nguvu kuliko akili

100 mkuu
 
Mi siwapendi mapolisi badala ya kulinda raia wao ndo baadhi wana shirikiana na wahalifu uonevu kwa RAIA hasa wakidai haki zao mfano Mwangosi badala ya Kumlinda wakamwua kinyama pia rushwa kwao ni kawaida

Hawa niwapiga pesa tu hakuna haki police.
 
Back
Top Bottom