Kwanini watu wananiogopa sana?

Pengine wanahisi wewe ni shoga/punga/mliwa jicho/mchicha mwiba' maana wewe ndio mtetezi wao mkuu ".


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ni mkimya na napenda kujifungia ndani muda mwingi! Kinachowaogopesha nini hasa maana hata mtu ninayekutana nae mara ya kwanza ananitetemekea!

Sent using Jamii Forums mobile app

Facial expression yako inamatter sana kwenye uongeaji. Hebu jiangalie usoni wakati unazungumza sura haikunji ndita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…