Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,185 Reaction score 44,058 Jul 5, 2015 #1 Ninauliza kwanini, aliyeanzisha nani? Asiyefanya ni nani, na ukifanya kwanini? Mtu kuuliza nini, atakayejibu nani? Unapokula dagaa, kwanini uzihesabu? Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji) Safarini
Ninauliza kwanini, aliyeanzisha nani? Asiyefanya ni nani, na ukifanya kwanini? Mtu kuuliza nini, atakayejibu nani? Unapokula dagaa, kwanini uzihesabu? Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji) Safarini
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,825 Reaction score 35,168 Jul 5, 2015 #2 Watakuja wataalamu wa mashairi, mbumbumbu mimi hapo sijaambilia lolote
G Geofray Kaswiga Jr Member Joined Jun 30, 2015 Posts 11 Reaction score 0 Jul 5, 2015 #3 qaqa iyo ni mixtar au