Hakuna dini, isipokuwa MUNGU peekee....
Dini huwa tunaenda tu kujuliana hali, kupiga story, kutoa stress, kufanywa tutaliwe kilaiiiiniiii.....
Mm naamini ktk MUNGU pekee na siyo dini/sijui midhehebu..
Hata ndoa nitafunga ya dini kuwaridhisha tu Walimwengu, ndg na majamaa basiii!!