Busara tele Kabisa, Mtume Paulo alisema kama mtu anaweza kuishi bila yeye (kutooa) ni jambo la kumpendeza mwenyezi Mungu zaidiKuoa ama kuolewa ni swala la dini na ni muongozo kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Una huhuru wa kuchagua kwamba either ufuate dini au ufuate nafasi Yako ambapo wenye Imani tunaamini kuwa asiyefuata Amri ya Mwenyezi Mungu basi amekufuru na hufuata njia ya shetani au ni mfuasi wa ibilisi. Au anakua mpagani. Sasa ni kujiandaa tu maana dunia hii tunapita tu hivyo chochote unachofanya utakikuta mbeleni. Hata firauni alikua mbabe na kujiita Mungu ILA siku ilifika akazamiswa Majini na kukiri kuwa kuna Mungu ILA ilishakua too late. So uamuzi ni wako kufuata kati ya hizo njia mbili.
Lakini hakusema upate Watoto ovyo bila kuoa. Au uishi na mwanamke bila ndoaBusara tele Kabisa, Mtume Paulo alisema kama mtu anaweza kuishi bila yeye (kutooa) ni jambo la kumpendeza mwenyezi Mungu zaidi
Hata akili Yako pia haikuambii umuhim wa kuoa? Ninavyojua nafsi ya mwadam ni yenye kughafilika sana na wakati mwingine ibilisi anakua keshakuteka. ILA kuna siku isiyo na jina nafsi hiyo hiyo hubadilika na MTU kuanza kujuta kwa mambo yaliyopita na kuona ni ukosefu kwa Mungu muumba. Unatakiwa ukae tena chini utafakari kwa mapana umuhim wa kuoa huku ukiomba. Utapata majibu. Fanya tafiti za kibinadam na kwenye maandiko kisha chuja na amua kipi ufuatekweli kiimani ipo ivo ila kila nikikaa sioni huo umuhimu am 27 na nyumbani wananisisitiza Kuoa ila sioni HUo umhimu hata kidogo!
Nilikuwa na idea kitambo sana enzi za Advance ila toka nimalize chuo mpaka leo sijapata ushawishi kabisaa, naona wafanyakazi wenzangu wakioa ila mimi sihamasiki hata kidogo!Hata akili Yako pia haikuambii umuhim wa kuoa? Ninavyojua nafsi ya mwadam ni yenye kughafilika sana na wakati mwingine ibilisi anakua keshakuteka. ILA kuna siku isiyo na jina nafsi hiyo hiyo hubadilika na MTU kuanza kujuta kwa mambo yaliyopita na kuona ni ukosefu kwa Mungu muumba. Unatakiwa ukae tena chini utafakari kwa mapana umuhim wa kuoa huku ukiomba. Utapata majibu. Fanya tafiti za kibinadam na kwenye maandiko kisha chuja na amua kipi ufuate
Sema Bado hujawa tayari na si kwamba hujaona umuhim. Ni vitu viwili tofauti na ni kawaida kwa watu wengi. Il wakati utafika tu utatamani mwenyewe kuoa hasa ukifika 30 mpaka 32 au 33. Be patient usiogope.Nilikuwa na idea kitambo sana enzi za Advance ila toka nimalize chuo mpaka leo sijapata ushawishi kabisaa, naona wafanyakazi wenzangu wakioa ila mimi sihamasiki hata kidogo!
Kuoa ni kitendo cha kuhalalisha ufanyaji ngono, yani ndugu, wazazi, jamaa na marafiki zako watakuwa wanajua jamaa anangonoka na fulani nothing else!embu toa vision yako kuhusu ilo
Ndio ukweli, nambie kipi utakosa kama hujaoa, kama watoto waweze Pata, kutoboa kimaisha inawezekana pia, labda ukose cheti cha ndoa lakini vingine vyote vipo tu uwe umeoa au la!ahahahahahahaaa jamaa wewe sio mzima
Hakuna dini, isipokuwa MUNGU peekee....Kuoa ama kuolewa ni swala la dini na ni muongozo kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Una huhuru wa kuchagua kwamba either ufuate dini au ufuate nafasi Yako ambapo wenye Imani tunaamini kuwa asiyefuata Amri ya Mwenyezi Mungu basi amekufuru na hufuata njia ya shetani au ni mfuasi wa ibilisi. Au anakua mpagani. Sasa ni kujiandaa tu maana dunia hii tunapita tu hivyo chochote unachofanya utakikuta mbeleni. Hata firauni alikua mbabe na kujiita Mungu ILA siku ilifika akazamiswa Majini na kukiri kuwa kuna Mungu ILA ilishakua too late. So uamuzi ni wako kufuata kati ya hizo njia mbili.
Ukioa sio ya kulipiaMzee hio ipo available hata kama Hujaoa!
mkuu ndoa imewekwa kwa ajili ya wale wanaomfuata mungu tu na sio wanaofuata matamanio ya nafsi zao...Ukioa sio ya kulipia
kwako wewe mwenye dini ndio mwenye busara?mkuu ndoa imewekwa kwa ajili ya wale wanaomfuata mungu tu na sio wanaofuata matamanio ya nafsi zao...
maneno ya kwamba hamna haja ya kuoa ni moja katika mawili
1...eidha msemaji hapandi mtungi
2...msemaji ni mzinzi na anaona kila anachotaka anapata kwa mzinzi mwenzie sasa aoe atafute nini??
ndyo mana huyu bwana katoa hoja za kimatamanio tu na ingekuwa busara angesema anafuata dini gani...
kama hana dini basi tunasema mpumbavu aende zake hamna haja ya kuelimishana na asiekuwa na muongozo wowote zaidi ya akili zake ambazo akishikwa na haja hazifanyi kazi