pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
ukweli mchungu sanaNeno kuzini au uasherati ni maneno yanayowahusu wanawake tu...! Hakuna mwanaume anayezini wala mwasherati...kwa sababu wanaume haiwezekani kuwa na mke mmoja tu...Ndo maana hata mtume Mohammad alihalalisha ndoa za mitaala. Biblia pia inawataja wanawake tu ndo wazinzi na makahaba,hakuna kahaba mwanaume,wala hakuna mwanaume anayetajwa na Biblia kuwa mzinifu. Mfalme Daud alitembea na mke wa mtu,na akampeleka mume wake mstari wa mbele vitani ili auawawe. Ingawa Mungu alikerwa na kitendo hicho,lkn alisamehewa na ktk hiyo familia ndo akazaliwa mfalme Suleiman ambae nae alikuja kuwa na wake halali 700 na michepuko 300.
Hapa mtadanganyana kwa kuandika maneno mengiii...lkn hakuna mwanaume anaweza kuwa na mke mmoja tu au mpnz mmoja Haiwezekani.....!!!!
Km una mwanaume anakudanganya kwamba upo peke yako, nakuhakikishia anakudanya tena uongo uliokomaa! Me mwenyewe mke wangu ananiamini mnooo,Lin napiga nje km kawaida!!!
Ukweli mtupuKuna Dada mmoja tena Mke wa mtu alitaka nichepuke nae..bahati nashukuru nilikwepa mtihani huo,katika kumdadisi kwa nini unataka kufanya hivi ilionekana ni stress za mahusiani .Alikua anapata kila kitu kutoka kwa mime wake ,ila shida ikawa jamaa kama anamuona mke wake mtu flani hivi yupo yupo ,hana akili in short dhihaka nyingi ndani ya nyumba.jamaa akitoka job kama simba kaingia,akitaka show anataka ya kibabe tu .Mwanamke analalamika karibu mwaka hajafikishwa kunako mahala.
Kabla ya kuangalia sababu za njee za kuchepuka nyingi ni ndani ya wanandoa Leo ukiangalia ndoa nyingi either watoto ndio kiunganishi wanawaza wakiachana itakuaje kuhusu watoto na endapo ingetokea option kwamba sasa hivi tufute ndoa zote watu warudi kuchaguana upya basi 90% wasingerudi kwenye ndoa za awali na wengine wasinge oa/olewa kabisa
Saa zingine unajisikia tu kula pilau la nchi nyingine, nothing specialNimejiuliza sana jambo hili;
Kwanini watu wanacheat katika mahusiano yao?
Je sababu za kucheat ni zipi wadau?
Au labda:
1. Wapenzi tulionao sio wale tuliofikiri watatufaa?
2. Au tabia chafu tumezifanya mazoea?
3. Wapenzi wetu hawafanyi kama yale michepuko wanafanya tukiwa faragha?
4. Au hatukuwapenda kwa dhati wapenzi wetu?
5. Au tabia zao zimebadilika kiasi kwamba hatuwezi kuendelea kuvumilia lazima tutafute mbadala?
6. Au tamaa zetu za kimwili kwa kila tunachoona kwa wakati huo.
7. Au vishawishi vya michepuko ni vikali kiasi kwamba hatuwezi kukataa?
8. Au tamaa ya pesa, mali na vitu ambavyo hatuna uwezo navyo kuvipata kwa urahis.
So guys hii ni kwa jinsia zote, why do people cheat?