KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Habarini wakuu,
Nimekaa nikajiuliza kwanini pindi watu wanapoanza mahusiano mapenzi yanakuwa motomoto ila inapofika muda fulani mapenzi yao ufifia na mtu anafikiria kuwa na mchepuko.
Nini linakuwa tatizo na njia zipi unazitumia kuboresha mahusiano yako toa maoni yako au unashauri njia zipi zitumike kuboresha mahusiano?