Kwanini watu kama hawa wamepotea duniani?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
12,089
12,830
NI chanjo au vyakula vinavyosababisha watu aina hii kutozaliwa tena?
Au ni mifumo tunayopandikizwa kila kukicha? ku smat fonisha n.kn.k?
12032255_10153802375850757_1719874373526381467_n.jpg

“No, I don’t want success. Success is nuttin’— y’know what I mean? You follow the system and the system kill ya.”
 
Kwenye moja ya interview Bob Marley aliulizwa are you a rich man? Akajibu what do you mean by rich man?......interviewer akamwambia do you have a lot of possession.....like 10 million in your bank account? Tuff Gong akajibu......possessions make you rich? I dont have that type of riches my riches is life forever.

Kwamtazamo wangu Robert Nesta alikuwa mtu mwenye akili sana.....he was genius in reggae music. Bob was real real real.......you know what a mean. Rest in Power #legend
 
tatizo huku kwetu wanasema bangi ni haramu labda tatizo lilianzia hapo
 
Uniwekea mawazo mengi sana.

Ila hawa watu kma wakina Bob walikuw diff sana

Nesta Marley alikuwa tofauti kwamaana ya mtazamo na misimamo yake kuhusu maisha, hali za watu weusi, dini na siasa. Bob Marley hakupata elimu kubwa......only 14 years of age he dropped out of school. Mama yake Cedella Borker alihuzunika sana.....hapa nadhani alimwita akaishi naye United States.....hatahivyo Bob alirudi tena KingStong kuendelea na mission zake. Bob mwenyewe anasema, I have no education I have inspiration. Na mimi nasema ndiyo.....imagination is powerful than education. Hii hata Eistein anaamini hivi.

For some Bob was a prophet and Messiah.
 
tatizo huku kwetu wanasema bangi ni haramu labda tatizo lilianzia hapo

Hii haihusiani na ganja/marijuana. Naweza sema u-genius wa Tuff Gong si kwasababu ya herb no. Napa inatakiwa uelewe Bob aliishi country life.....tena kwa sehemu za Caribbean jamii nyingi hupenda kifundisha watoto kwa njia ya masimulizi. Bob alielewa sana kuhusu Africa, kuhusu religion and how people were tricked by the so called missionaries. Alipofika KingStong toka Nine mile kijijini alikuwa tofauti na wenzake katika uelewa wa mambo tofauti. Black Howell aliyesaidia sana harakati za Bob anasema.....aliposikiliza mashairi ya Bob kwa mara ya kwanza tu alijua.....Bob was a true poet......alijua sana kuandika na mashairi yake tunaishi nayo hadi leo. ....see?
 
Kwenye moja ya interview Bob Marley aliulizwa are you a rich man? Akajibu what do you mean by rich man?......interviewer akamwambia do you have a lot of possession.....like 10 million in your bank account? Tuff Gong akajibu......possessions make you rich? I dont have that type of riches my riches is life forever.

Kwamtazamo wangu Robert Nesta alikuwa mtu mwenye akili sana.....he was genius in reggae music. Bob was real real real.......you know what a mean. Rest in Power #legend
A real activist.
 
Back
Top Bottom