Kila mtu akijiajiri mwenyewe wafanyakazi watatoka wapi? Acha hzo weye siye wajasiria tutapata wapi cheap labor🙂🙂,
Kwanza unatakiwa kufahamu tu kuwa duniani hatukaa tufanane, dunia yote vitu vimeumbwa viwili viwili, dume na jike, mchana na usiku,
Waajiri na waajiriwa, matajiri na maskini, mbinguni na jehanamu,, huwezi kubadili iwe moja ni ngumu..