Nakumbuka kipindi cha Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete wakati anapelekewa faili la majina la watu wanaojihusisha na madawa ya kulevya hakuwataja majina. Watu wakalalamika sana kwanini wasitajwe majina hadharani lakini hayakutajwa.
Awamu ya 5 ikaamua kuwataja kupitia kwa muheshimiwa makonda. Watu wakalipuka na kusema kwanini wametajwa majina hadharani na wengine kufika mbali zaidi kusema kuwa wale wenye brand kubwa itakuwa ngumu kurudisha brand zao
Juzi Hamphrey polepole aligusia kuna mtu mkubwa alienda kwa muheshimiwa Rais kuomba asilipie kodi kontena 700. Watu wakarudi tena kutaka polepole amtaje jina
Kubwa zaidi ni hili la Mheshimiwa Ngeleja na Makamba kuomba msamaha kwa Mheshimiwa Rais kwa yale yaliotokea. Watu wamerudi tena na kuhoji kwanini Muheshimiwa Rais amewataja majina. Sasa mi nashindwa kuelewa kwanini Watanzania wamekuwa wafiki kiasi hiki.