Kwanini watanzania wanaogopa kupingana na CCM?

Hii nukuu ya kunionya mimi toka kwa huyu Mwana JF mwenzetu imenishagaza sana. Imenishangaza kwa kuwa inaonesha kwenye nchi hii kuwa na mawazo tofauti na CCM ni jambo la hatari sana.

Lakini mawazo kama ya huyu mwana JF mwenzetu yako kwa watanzania wengi sana kiasi kwamba yanaleta swali la msingi ni kwa nini watanzania wanahofia kitakachowapata baada ya kuipinga CCM?

Mitaani inasemwa ukiipinga CCM kwenye nyumba yako kunaweza kupitishwa Barabara na nyumba yako kubomolewa, wafanyakazi wa Umma inadaiwa watafukuzwa kazi, kwa wanafunzi wa vyuo wanaambiwa watanyimwa mikopo, kwa wanasiasa wanaambiwa kitawapata kama kilichompata Lissu na mengi mengi sana.

Lakini CCM yenyewe inajinasibu kama ni chama kinacholinda amani na kupenda amani kwa watanzania. Kama CCM ni chama cha kupenda na kulinda amani ni kwa nini watanzania wenzao wanakiona kuwa kinaweza kuwapatliza kama wakipingana nacho?
Ngoja nii tag nitarudi baadae.
 
Imetoka kwako au umeichukua kwa nani?
Baada ya Obama kuchaguliwa, "Republican't" wakaamua kuwa na ajenda ya kupiga kura ya hapana kwa kila muswaada ulioletwa na Democrat bila kujali maslahi ya nchi, na hapo ndipo walipopewa jina hilo.
 
Bungeni utafukuzwa mtaani utakamatwa, mwisho wasiojulikana watakubeba.
 
Baada ya Obama kuchaguliwa, "Republican't" wakaamua kuwa na ajenda ya kupiga kura ya hapana kwa kila muswaada ulioletwa na Democrat bila kujali maslahi ya nchi, na hapo ndipo walipopewa jina hilo.
Na wewe au?wanajua neno "upinzani"?Crap,hiyo ni yako!
 
Upinzani ni kifupi cha vyama vya upinzani, tatizo lako ni nini usaidiwe?
Kwahiyo wakaandika hiyo slogani kwa kusema "upinzani has become a party of No",hapo ndio nakuuliza hilo neno upinzani walilotoa wapi au kwenye kamusi?Wamarekani walitafsiriwa au walielewa?
 
Well, I didn't wanna label a particular party, that's why.
 
Back
Top Bottom