Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
Kwani juzi hujaona kwenye uwanja wa taifa walivyong'oa viti na kuharibu kwa makusudi?
Ustaarabu zero...labda ndo maana ya kuwa blacks!🙁
Waswahili huwa tunatema mate kwenye mabasi,
tunapenga na kukojoa hovyo barabarani,
tukiwa tunahama tunang'oa hadi silingi bodi licha ya kuwa tumelikuta, na pia huwa tunaharibu vitasa vya milango,
tukienda kwenye pati tunaiba misossi na kuondoka na chupa,
jamani hivi kwa nini tuna tabia za ajabu?
Tabia zetu mbaya ni nyingi mno kiasi kwamba nikiandika zote hapa wino utaisha kwenye monitor yangu,
lakini kikubwa cha kujiuliza, kwa nini leo tusiachane na tabia hizo?
Kama tumelogwaeeeHHH, yani kimsingi haiingii akilini kabisa!!! why should you take three samosas in a workshop afternoon tea, wrap it in the tissue and put it in the handbag!! how disgusting??!!! kwani huwezi kununua samusa ukawapelekea wanao au whomever unyempelekea????!!!
Forum hii itakomesha vitabia hivi ingawa haviwezi kwisha lakini mtu akitaka kufanya atafikiria mara mia. Hivi umewahi kuwaona watu wanavyochanganyikiwa kwenye w/shop kwenye chakula lakini msosi kibao.GROUP G!!!! umenifukuza kabisa humu lol!!! naskia maumivu ya mbavu kwa kucheka duh!!! u have made my evening and i wish u a gud one!!!!!!!!!!!
umeisema kwa hasira sana hii ya sambusa duh!!! ukienda kwenye w/shop hizo mbona sana tu yaani mtu hata hukumtarajia kufanya hivo!!!!
Forum hii itakomesha vitabia hivi ingawa haviwezi kwisha lakini mtu akitaka kufanya atafikiria mara mia. Hivi umewahi kuwaona watu wanavyochanganyikiwa kwenye w/shop kwenye chakula lakini msosi kibao.
Tukisema waswahili ndo tulivyo sina uhakika, mfano ni wakazi wa moshi mjini, wale usafi ndo msingi na wamejiwekea taratibu zao na ndo zinawaongoza hadi leo kushika namba moja kwa usafi tanzania. Mi nafikiri malezi na mfumo wa maisha ya eneo husika vinachangia.