Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

hahha kamdanganye kuku. mwanamke ata akiwa na million bado atataka kula buku kumi ya njemba...wazuri wanajipanga watatija wapi leo tena sio hapa bongo tayari wanakula bata nje ya nchi
kwahyo akili yako inakwambia kila aliye nje ya nchi mwanamke anakula bata eh? Na wasiwasi na thinking capacity yako!ebu kajipange na hoja nyingine
 
Be eyez, hapa story tu, kula kwenu(hapa kula bata tu, kuolewa kwenu).
 
hawo wazuri na warembo wakoje unadhani wanatolewa out na wanaume wa ukweli?kuwa online si kwamba umeshindwa kutoka out bali unapenda kupata habari mbalimbali na kuexchange ideas na watu tofauti tofauti

hahh wazuri kama klynn lulu hao ndio wazuri althou i know utasema wanauza papuchi that doesnt devalue their beauty.

exchange ideas na watu face to face. online sikatai mtu kuingia kidogo lakini mhm mie mwanamke mzuri y wuld i b online listening to useless arguements while i cn have then.over a cocktail party mixing it with men that have made it big.....sorty call me mshamba or watever ila beautigul ladies dnt stay online that long...na kama they do basi they posting pics of the fun they having
 
weee sasa kwani uwongo bwan.....mie naona hiyo ya kuwa malaya labda a bit far fetched but am sure totoz za ukweli zinakuwa wine nd dined na vijeba vyenye hela zao.

similarly wanaume wa ukweli wenye dollar zao hawezi kukaa jf anatafuta bupa...bupa zajigonga zenyewe huko mtaani

life is the way u make... dont judge!! not evry cheap things can be affodable
 
kwahyo akili yako inakwambia kila aliye nje ya nchi mwanamke anakula bata eh? Na wasiwasi na thinking capacity yako!ebu kajipange na hoja nyingine

thanx mkuu charty umenena vyema na usiku mwema kwako
 
wanawake wazuri na warembo tunatafta pesa zetu na tunatoka kwa ratiba zetu na si kutolewa outing na wanaume. ndio maana tunaonekana online.

acha uongo wewe! Unadhani kutafuta hela ni kazi rahisi, mrembo wa ukweli hawezi kujitesa kutafuta pesa anatafutiwa tu. Ukiona mrembo yuko busy kutafuta pesa basi jua ana kilema kingine kilichojificha. Kutafuta kwa jasho ameumbiwa mwanaume na wanawake polygon! Ubishe ukatae.....
 
'miss independent'.
 
Okay, Beyonce ni mwanamme? Anatafuta pesa kwa jasho?
Kim kadarshan ni polygon?

acha uongo wewe! Unadhani kutafuta hela ni kazi rahisi, mrembo wa ukweli hawezi kujitesa kutafuta pesa anatafutiwa tu. Ukiona mrembo yuko busy kutafuta pesa basi jua ana kilema kingine kilichojificha. Kutafuta kwa jasho ameumbiwa mwanaume na wanawake polygon! Ubishe ukatae.....
 
Sishangai kushangaa maana kama huko mtaani hawajakunasa?

Huku sasa lazima tushangae, wanaokujua hawana muda wa kujiweka kwako, hao wasiokujua je?
 
Nashanga kuna wanawake na heshima zao nawafahamu wapo jf forum..si kila anae tafuta mtu jf kachoka..wengi wanatafuta same class maana ni rahisi kupata hapa
 
mimi u will cinvince me otherwise mpaka nione picha zenu na uzuri wenu....otherwise mie najua nyue ni ng'ong'ozo tuuu.
 
Playing victim again. I think there's nothing wrong with seeking love online but saying ladies who do so suffer cyber bullying is just playing victim. Even men who seek love online are insulted too.
 
Nashanga kuna wanawake na heshima zao nawafahamu wapo jf forum..si kila anae tafuta mtu jf kachoka..wengi wanatafuta same class maana ni rahisi kupata hapa

Wazo zuri!!!
 
nadhan sio mbaya kutafuta mpenzi online,ila ni vyema pia mkaonana face2face kwani inasaidia kumjua mtu,pia personally napenda mdada mwenye akili na kujiheshimu,mdada hata awe mzuri vip kwangu ni fahari ya macho tu,dizaini za kina lulu sasa kidume utasema una mpenzi kweli?
 
Back
Top Bottom