Wewe ni k/meKama kichwa cha habari kinavyojieleza sijawahi kumuona mrangi mwenye sauti nzito au base
Wote wanaume na wanawake sauti zao nyembamba na nyororo
Hivi ni sababu zipi zinazowafanya jamii hii wawe na sauti nyembamba ,hakuna mrangi mwenye sauti nziti utafiti huu ni zaidi ya prof Mruma na ya Osoro.
Ni kwanini ?
Walikufanyaje??Yani hao hata kuwasikia sitaki kabisa...
Kwanini MkuuYani hao hata kuwasikia sitaki kabisa...
Jiwe limekupata gizaniSiku ingine leta thread zenye mafanikio na tija kwa jamii, usilete thread za kama mtu alokula ugoro
Nasikia hawajuagi kukataa, ni sauti nyororo mwanzo mwisho.Nasikia hata kuandik kwao ni mwororo kama sauti zao.
Weee, acha tuu...Walikufanyaje??
Wee acha tuuKwanini Mkuu