Kwanini wanawake wengi wazuri na waliosoma na wenye wanazalia nje ya Ndoa( Nyumbani kwa wazazi wao)


Nyumba ndogo anatofauti gani na mke mkubwa unaamini treatment unazozifanya kwenye nyumba ndogo kupiga simu,kufanya shoping muda wote,kutoka naye out,kumuandaa kwenye tendo la uzinzi, kumpeleka salooon,kumtafutia kazi au kumsomesha ukimfanyia nyumba kubwa utakosa upendo
 
Tuwe wakweli..Ni wachache sana ambao hawataki kuolewa ila majority wanapenda bahati mbaya hilo zali halijawashukia... nani asiyependa kuitwa my wife?
Pia wanaume wengine bado wana yale mawazo kwamba mwanamke aliyeshajiendeleza kimaisha hafai kuoa...Nimesikia kwa masikio yangu.....Sasa kama wanaume hawapropose wadada wafanyeje na umri unaenda? Utakuta bidada keshazunguka kwa kina Gwajima mpaka kachoka kilichobaki anatafuta mbegu tu .....
 

Tena siku hizi wafuasi wa hizi dhebu feki waliowengi ni hao wasichana wazuri,wenye elimu,wenye kazi lengo lao ni kutafuta ndoa..au kuolewa nini tatizo..mi nina mifano ya wanawake walioenda mpaka nija kwa TB Joshua kwa nini tuwe wa kweli
 

Very well said marejesho

CC Filipo
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe sana kuileta hii mada kwa lengo zuri tu la kuwasaidia dada zetu hawa wasomi waachane na life style ya kutoolewa....Sababu kubwa ni kupuuza wajibu na majukumu waliyopewa katika waefeso 5:22-24 wa kuwatii na kuwaheshimu waume zao, kwa kuita kitendo hicho kama ukandamizaji...but wanasahau suala la mwanaume kuwa kichwa na kiongozi cha familia ni agizo la Mungu sio option....wajiulize swala dogo tu, je wanaume wanapotii mamlaka kama Rais wa nchi je hupunguza uanaume au utu wao? Vivo hivo wakiwatii waume zao hakutafanya hadhi na utu wao kupotea...!fedha au elimu kubwa ndo sababu inayowafanya Wanawake kudhani wanaweza kuwatawala na kuwapanda vichwani waume zao jambo ambalo si sahihi....! Ombi langu kwa wadada wawatii na kuwaheshimu waume zao hata kama wana fedha na elimu waone kama hawataishi paradiso wakiwa bado duniani...!
 

mgongeo wa like
 
Wanaume wlio wengi wamezoea kudanganyadanganya,sasa akimuona mdada ana elimu yake na kazi nzuri anaogopa kumpa uongo wake na kujihisi inferior kwa mdada huyo matokeo yake wanaume wanawakimbia wadada wa hivi kwasababu tu hawawezi kumburuza watakavyo kama walivyozoea.....wanaenda kuchukua wanawake wasio na kazi au elimu ya kuondokana na manyanyaso ya kijinsia ilimradi wawafanye km watumwa wao,masikini nao wanawake wa hivyo wanaishi kimateso kisa wanapata kutunzwa wao,watoto,na familia yao kwa ujumla,sasa mnyanyase mwanamke mwenye kujitambua na mwenyekazi yake uone km hajaondoka akalea wanae pekeyake bila kukuomba hata shilingi
 

Kinachowapotosha wenye msimamo na mtizamo kama wako ni kukosa elimu ya mahusiano na ndoa... nyumba lazima iwe na kiongozi na kiongozi wa nyumba ni mwanaume hiyo sio maneno yangu... ni maamrisho ya dini zote....unaweza kuwa na elimu yako na bado ukamtii mume wako kama waefeso 5:22-24 inavoagiza na ukamuelewesha kwa staha pale anapokosea akakuelewa na sio kutaka mpaka umdharau ndo ueleweke!
 
Nimekuelewa unachoongelea na nakubaliana nacho heshima kwenye ndoa lazima iwepo....mwanaume atakuwa kiongozi si tatizo,mimi sioni shida kujishusha mbele ya mwanaume coz najua hata dini imesema mwanamke anatoka kwenye ubavu wa mwanaume....lakini aniletee hoja zaajabu bila sababu za msingi ambazo siafikiani nazo siwezi kukubali ukweli nitausema...na kitu kama hiko wanaume wengi wanakipinga...Kwa namna moja au nyingine wanajihisi not man enough haswa ukiwakosoa na kweli wanakosea,wanajiona sio VIDUME MBEGU!!!
 

Unakumbuka leo umekuja na maada kuwaa rafiki yako hakai na mwanaume mmoja je ndio muendelezo..unakumbuka kuna mdau alikwambia kuwa kama. Huyo ni rafifi yako basi you have something common between you guys..pia unakumbuka pia kuna mdau alikwambia kuwa inawezekanq mumeibiana mabwana
 

U seems to be right but in a wrong way....the right way in a sense that u agree man's leadership but the wrong way on the approach u employ to fix ua things...this can be proven by ua provacative words "... wanajiona sio VIDUME MBEGU!!! " unachokosea ni kujua wakati gani umkosoe mume wako na kwa kauli gani...ukitumia kauli za fedheha hata kama amekosea atajihami....hii ni hulka ya mwanaume yeyote duniani....Biblia humuita -------- mwanamke anayempayukia mwanaume
SOMA MITHALI 9:13
Mwanamke -------- hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.14--Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka,

Wanawake Mungu kawapa power kubwa sana juu ya nyumba zenu.....ya kujenga au kubomoa...soma
Mithali 14:1-Mwanamke-mwenye hekima huijenga nyumba yake, bali-mpumbavuhuibomoa nyumba-yake kwa mikono yake mwenyewe

Chondechonde watiini waume zenu muone kama hamjaishi paradiso mkiwa bado mko duniani....!
 
Hio umesema wewe kutokana na dini yako!!Uislam unasema mwanamke katoka kwenye ubavu wa mwanaume...kwahio ulimi wake haujanyooka kama ulivyo ubavu na ukilazimisha kuunyosha utauvunja!
Uislam umeamrisha vilevile kuwa mwanamke amtii mumewe...pepo ya mwanamke ipo chini ya miguu ya mwanaume!!!So suala la kumtiii nalijua lakini uislam haujaamrisha mwanamke akandamizwe!!!!
Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Anachohitaji mwanaume ni implimentation ya kile kilichoamrishwa na dini zote....ukizungumzia uislam ndo umepambanua kwa mapana zaidi vile mwanaume amapaswa kumtii mwanaume....mwanaume hahitaji zaidi ya hapo....kukandamizwa kunatok wapi au ni kupi?
 
Anachohitaji mwanaume ni implimentation ya kile kilichoamrishwa na dini zote....ukizungumzia uislam ndo umepambanua kwa mapana zaidi vile mwanaume amapaswa kumtii mwanaume....mwanaume hahitaji zaidi ya hapo....kukandamizwa kunatok wapi au ni kupi?
Soma post zangu nyingine za juu utaelewa!!Na naona tunachanganya dini na desturi ni vitu viwili tofauti!!Kwasababu nikiendelea kukumwagia aya zangu hapa utakaa upande!
 

weka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…