juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kama unataka hela yako ipotee basi mkopeshe mdada,hawa watu huwa hawalipi madeni kabisa hasahasa ikitokea mdeni wake ni mwanaume hata wakidaiana wao kwa wao huwa hawalipani,hivi ni kwanini?
mkuuu hata mimi imebidi nisamehe tu.unaweza kuua urafiki hivihiviSasa unaanzaje kumkopesha mtt wa kike kwa mfano. We kama una nia ya kumsaidia, msaidie. Kuna dem nilimkopeshaga laki kadhaa, baada ya kuona urafiki wetu unapungua, nikaamua kumsamehe tu.
KhaaTena km ni mwanamke damu inachemka hapo sahau tu, yupo lazi akuvulia vyup ila sio kukupa hela
Wagumu sana wa kulipa.siku ya mkopo ni wastaarabu sana ila kwenye kulipa ni tatizoHii ni shida mkuu. Nakumbuka nilimpatia pesa akasema atarejesha, nilikaa kimya kwa kujua anakumbuka siku namkumbusha alinigeuka na kusema mbona nilishakupa. Tena uso mkavu kabisa. Mwingine ilibidi nisingizie rafiki yangu, ila alilalamika sana wakati ni yeye aliahidi tarehe ya kurudisha. Akawa hataki hata kunisalimia. Toka hapo nilisema sikopeshi Mwanamke pesa bora nimpe tu
Ila kumkopesha mpenz huwa haifai kbs ni kumpa km zawadi tu.kuna jamaa alinitongoza oooh nakupenda sana sana blah blah kibao nilimuomba anikopeshe elkf 30 nikasuke nitarudisha mwisho wa mwezi
eti ilipofika mwisho wa mwezi asubuhi akanipigia nilishangaa sana.nikamwambia bna jiheshimu
sasa alinitongoza bure jamani
Tena awe mzuri yaani unaweza kumega mke wa mtu. Hawa watu sijui wana akili za nini?Wagumu sana wa kulipa.siku ya mkopo ni wastaarabu sana ila kwenye kulipa ni tatizo
Naomba niazime 100K nakurudishia mwisho wa mwezi tafadharimkuuu hata mimi imebidi nisamehe tu.unaweza kuua urafiki hivihivi
Hahahaha duh wewe kiboko hahahahakuna jamaa alinitongoza oooh nakupenda sana sana blah blah kibao nilimuomba anikopeshe elkf 30 nikasuke nitarudisha mwisho wa mwezi
eti ilipofika mwisho wa mwezi asubuhi akanipigia nilishangaa sana.nikamwambia bna jiheshimu
sasa alinitongoza bure jamani
but they are equal ofcourse, hahahahahah nimecheka kweli hii comment, sijaelewa but nimejaribu kuelewa ulikuwa unataka kusema nini.Wanategeshea mmalizane juu kwa juu! Tatizo ni pale wasipokumbuka kwamba not all papuchiz are equal!
Mtaarifu kuwa umemsamehe ili awe na taarifa.mkuuu hata mimi imebidi nisamehe tu.unaweza kuua urafiki hivihivi