Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

Mbona vyake unakula? Acha kuzuga kwa kisingizio cha muda, sema kama unamuuzia au la, mtu ajue moja kama ananunua au la, ya nini kuzungushana?
Jamaa alikuwa bado mtoto naisi yani uachwe kisa mbumbu ujiuwe anyway endelea kujifunzaa ata manzi kutokujali ilikuwa sahihi
 
Mbona vyake unakula? Acha kuzuga kwa kisingizio cha muda, sema kama unamuuzia au la, mtu ajue moja kama ananunua au la, ya nini kuzungushana?
Vyake unamaanisha vocha?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Ifike wakati JF wawe na jukwaa maalum la watoto wadogo kusudi nao wapate kupost mada zao.

“Hivi yule mwenzetu aliyechomwa moto ndani ya nyumba akapoteza uhai atasemaje huko alipo muda huu kama hujui maana ya kutendewa ukatili”
 
Kwa sababu walikutana na shetani laivu pale Eden.

Ukiwajua, Dawa yao huwa ni ndogo tu, Usijenge kibanda.

Tongoza nyoka wengi kadri uwezavyo hata 12-24 kwa mwezi, Ili uwe na wengi walotia saini.
Akizungua huyu unaruka kwa yule, Yule akizingua unaruka kwa huyu.

Hakuna nyoka atakaye kuletea kibri wala jeuri tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…