Kwanini wanawake wanapenda kutuweka friendzone?

Kwanini wanawake wanapenda kutuweka friendzone?

Okay,nimekusoma bodabodafasta,tatizo ni mentality yako,ni kwamba mwanamke wako ni wa kumfanya tuu,ikitokea hiyo kitu imekosekana basi hana maana yoyote tena kwako.
Nampa pole sana anaekupenda/kuheshim.
Kama vipi oa kwanza at least utaweza kufanyia zoezi mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hapo ni mtihani mwanamke ambaye akupi naniliiiiii aendee tu
 
Demu baada ya kunilia vilakilaki vingi kama mwezi nikaconfirm hapa sijapendwa as a gentleman nikaamua niwalk away ,alipokose ni kuniletea mnyama dharau siku alinipigia huko na rafiki yake nkwapi nimnunulie bia nkamwambia nlipo kaja na rafikiye .

Pombe za hapa na pale tukatofautiana akaanza niaibisha mbele ya marafiki zangu oooh we ushatembea na mm,huo ujanja huna am not cheap.nikatabasamu nikajichekesha chekesha huku akifokea jamaazangu wakimtuliza.

Nikajisemea ''shubamit'' asubuhi nkampigia supu wapi nikiwa na roho ya kisasi nkawatoa na rafiki take safi ,mnyama nkakamata namba ya rafiki alipoenda chooni tu,mchana nkamla rafiki kwanza.

Demu nilimuongeza macare na kibunda akajiroga tukaenda mbugani ,mnyama nilikula ile kumaliza sio kushiba.

Tuliporudi Dar nkamwambia mi nimeona demu nampenda tuishie hapo demu maigozo yangu alijua nabeep,siku huko club mm huyu na rafiki yake alinimind sana ,nkamwambia asiwe personal its abt lv.

Demu anatia huruma yaani anaporomosha mimeseji ya msamaha na matusi daily mi hata kusoma ni juu juu.

Mi full na rafiki yake ,condom inazingatiwa najua ni wale wale ila haka hata kukaacha utakuwa kiheshima and soon .
2019 moto..no to slay queen
Hapo umecheza vizuri mkuu
 
Nikwel kabisa usemayo.mfano mimi niko kwenye mahusiyano na nimpendaye huwez Kuamin tunamwaka sasa hatujawai gusana natumekubaliana mpaka tufunge Ndoa na Mungu anatusaidia kuishi hivyo.natunafuraha ya Ajabu.
kuna anae mkula we endelea kuzubaa
 
kweli kabisa. Niliwahi kuuomba bidada moja very beutiful, lakini yeye akaweka msimamo kuwa atafanya baada ya kuolewa; nikamuweka wazi mimi kuoa bado. mwanaume nikakoma mzigo ukaletwa. Nilicho kikuta huko kilisababisha mpaka leo nawaonea huruma wale wanaosubiri ndoa ndio wapewe tunda.
Vip mkuu ulikuta na creta ya ngoro ngoro au vip?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok fine, mdada kaniweka friendzone (I respect her decision), bhasi asinilie vipesa vyangu na kunisema vibaya/kunikejeli akiwa huko na marafiki zake wa kike wakati anajua papuchi hatonipa, pia aniambie ukweli kuwa hanitaki na mm kama mwanaume ninaejielewa sitoendelea kumsumbua. Only foolish men wataendelea kumsumbua mdada baada ya kukataliwa & those kind of men deserve a hard punch on their face Karucee
Mkuj tunafanan saan maamuzi

Kuna mdada ivi nilifanya nae field sasa nikawa namtaka akanambia ana mt kwanza nisimsumbue,fresh nikajiongeza nikafuta namba

Sasa miak imepita kasikia nimepata kazi kaanza kunitafuta eti nakaa wap siku izi?mbona nimeacha kumtafuta.nikawa na delay kujib text zake mpak akawa ana mind but kajiloga eti natak kuja kwako

Nikamwambia fresh,,,,kaja kunisalimia salam nzur kabisa na saiz analalamika eti mbona hanielew ,mara anaomba hela

Nikamjibu usinisumbue nina mtu wangu saiz..

Huyo ameshakuona boya. Bado anakupiga vizinga na kukusema vibaya.

Aisee ukute anakuita boya kwa marafiki zake

Kazana mkuu urudishe hadhi ya kiume.

Piga mashine, ama huna uchungu na hela yako iliyoliwa na kuitwa boya ama worse fala kwa mashosti wake?

😁😁😁😁😁😁😁
Daby, usipite hapa ni akili za weekend
 
Muulize mbali na sex,mwanamke anaweza offer nin kingine kweny mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ugomvi aisee uliza uone povu lake
Mkuj tunafanan saan maamuzi

Kuna mdada ivi nilifanya nae field sasa nikawa namtaka akanambia ana mt kwanza nisimsumbue,fresh nikajiongeza nikafuta namba

Sasa miak imepita kasikia nimepata kazi kaanza kunitafuta eti nakaa wap siku izi?mbona nimeacha kumtafuta.nikawa na delay kujib text zake mpak akawa ana mind but kajiloga eti natak kuja kwako

Nikamwambia fresh,,,,kaja kunisalimia salam nzur kabisa na saiz analalamika eti mbona hanielew ,mara anaomba hela

Nikamjibu usinisumbue nina mtu wangu saiz..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mimi mkuu; mtu akizingua leo mi nikiamishia majeshi kwingne huwa simwelewi tena
 
Hii inatokea sana kwa sisi wanaume unakuta umemtongoza mdada na kweli upo serious unataka kuwa naye hata awe mke kwa baadae ila unaanza kuwekewa masharti sex subiria kwanza ni mapema mno.

Anasema hayo huku akihitaji mahitaji yake kama pesa na mengine mengi umsaidie ila anakusubirisha kwenye kusudi la msingi la sex.

Mimi hapa huwa nawapoteza wengi sana maana kama itapita wiki sijapata ninachotaka haina haja ya Mimi kuwa friend na mwanamke kama hunipi ninachokitaka na hakuna ninachokipata toka kwako. Only if tuko sehemu moja au tunaonana mara kwa mara ndo nitaendelea kuchombeza chombeza ila akili yangu ilishahama kwako kitambo.

Ebu tuambie huwa mnasubiri nini ndo mtupe papuchi?? Je, huwa hampeleki kwengine wakati tunasubiri kupewa??

Je wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hii hali maana wengine sisi uvumilivu ni zero. Yaani kukaa unamwagilia tunda lililoiva badala ya kulila huu moyo sina kabisa. Hebu tupeane uzoefu
Sasa si unamwabia ukweli kwamba hauwezi kula kitu kabla hujaliwa..ukitaka hivyo vitu nipatie kipapatio hicho mbona ni rahisi kama hivyo
 
Back
Top Bottom