Kwanini wanawake wanapenda kutuweka friendzone?

Kwanini wanawake wanapenda kutuweka friendzone?

Nyie wenzetu asubuhi mnawaza mengi lakini ailimia 99 ya wanaume asubuhi lazima awaze papuchi;
Sio lazima uwaze hiyo ni alarm ambayo Mungu amemuwekea mwanaume ili awahi kwenye mihangaiko alete chochote nyumbani.
Ndiyo maana hata ukiwa usingizini unajikuta tu kitu kimesimama.
NB:Mwanaume rijali hana sababu ya kutegesha alarm imuamushe mwili wake ni alarm tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu mzgo unakuwa unasoma mda wote
 
Hatar sana..bas usilalamike kutoa hela..ni kavile unanunua.
Hapa ishu ni kwamba hupewi unachotaka,na sio kwasababu unatoa hela ndo upewe.
By the way mapenzi is not all about kufanyana.
Sasa tutakua tunaongea na kufanya ishu gani ambazo siwezi zipata kwingine zaidi yakwakw...biashara na story nyingine hata dada zangu ningeweza fanya nao, ila nimemtafuta yeye kwa ajili hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inatokea sana kwa sisi wanaume unakuta umemtongoza mdada na kweli upo serious unataka kuwa naye hata awe mke kwa baadae ila unaanza kuwekewa masharti sex subiria kwanza ni mapema mno.

Anasema hayo huku akihitaji mahitaji yake kama pesa na mengine mengi umsaidie ila anakusubirisha kwenye kusudi la msingi la sex.

Mimi hapa huwa nawapoteza wengi sana maana kama itapita wiki sijapata ninachotaka haina haja ya Mimi kuwa friend na mwanamke kama hunipi ninachokitaka na hakuna ninachokipata toka kwako. Only if tuko sehemu moja au tunaonana mara kwa mara ndo nitaendelea kuchombeza chombeza ila akili yangu ilishahama kwako kitambo.

Ebu tuambie huwa mnasubiri nini ndo mtupe papuchi?? Je, huwa hampeleki kwengine wakati tunasubiri kupewa??

Je wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hii hali maana wengine sisi uvumilivu ni zero. Yaani kukaa unamwagilia tunda lililoiva badala ya kulila huu moyo sina kabisa. Hebu tupeane uzoefu
Mapenzi sio sex tu lakini kama mwanamke kama hawataki kushiriki tendo la ndoa ni vizuri wawe wanajiuliza kwanza wameingia kwenye mahusiano ili wafanye nini
Kiufupi ni kwamba wanawake wengi sasa bila kuhongwa penzi hawatoi labda itokee amekupenda madem wengi ni matapeli ukishaona mwanamke anaomba hela huku k atoi ujue ndo basi tena hupati hiyo
 
Huyo hafai, nipe nikupe aisee
 
Hatar sana..bas usilalamike kutoa hela..ni kavile unanunua.
Hapa ishu ni kwamba hupewi unachotaka,na sio kwasababu unatoa hela ndo upewe.
By the way mapenzi is not all about kufanyana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kufanya haina haja ya kuwa naye; sasa yeye wa kazi gani?? Kupewa n kuthibitsha upendo na kujali hisia za wengne
 
Demu baada ya kunilia vilakilaki vingi kama mwezi nikaconfirm hapa sijapendwa as a gentleman nikaamua niwalk away ,alipokose ni kuniletea mnyama dharau siku alinipigia huko na rafiki yake nkwapi nimnunulie bia nkamwambia nlipo kaja na rafikiye .

Pombe za hapa na pale tukatofautiana akaanza niaibisha mbele ya marafiki zangu oooh we ushatembea na mm,huo ujanja huna am not cheap.nikatabasamu nikajichekesha chekesha huku akifokea jamaazangu wakimtuliza.

Nikajisemea ''shubamit'' asubuhi nkampigia supu wapi nikiwa na roho ya kisasi nkawatoa na rafiki take safi ,mnyama nkakamata namba ya rafiki alipoenda chooni tu,mchana nkamla rafiki kwanza.

Demu nilimuongeza macare na kibunda akajiroga tukaenda mbugani ,mnyama nilikula ile kumaliza sio kushiba.

Tuliporudi Dar nkamwambia mi nimeona demu nampenda tuishie hapo demu maigozo yangu alijua nabeep,siku huko club mm huyu na rafiki yake alinimind sana ,nkamwambia asiwe personal its abt lv.

Demu anatia huruma yaani anaporomosha mimeseji ya msamaha na matusi daily mi hata kusoma ni juu juu.

Mi full na rafiki yake ,condom inazingatiwa najua ni wale wale ila haka hata kukaacha utakuwa kiheshima and soon .
2019 moto..no to slay queen
 
Nikwel kabisa usemayo.mfano mimi niko kwenye mahusiyano na nimpendaye huwez Kuamin tunamwaka sasa hatujawai gusana natumekubaliana mpaka tufunge Ndoa na Mungu anatusaidia kuishi hivyo.natunafuraha ya Ajabu.

Kuwa makini Tu mkuu
 
Kuna mwenzako anacover your part..
 
Nikwel kabisa usemayo.mfano mimi niko kwenye mahusiyano na nimpendaye huwez Kuamin tunamwaka sasa hatujawai gusana natumekubaliana mpaka tufunge Ndoa na Mungu anatusaidia kuishi hivyo.natunafuraha ya Ajabu.
Yupo anaekula hadi vya uvunguni endelea hivyo na ujinga wako utakuja kuletewa mimba tu ulee unadharaulika sana mkuu
 
Papuchi zingine lazima uonje mkuu unaweza chukua jumla ukashindwa kuitumia onja kwanza ujue kitu kipo fresh I kwa matumizi hata ya baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa. Niliwahi kuuomba bidada moja very beutiful, lakini yeye akaweka msimamo kuwa atafanya baada ya kuolewa; nikamuweka wazi mimi kuoa bado. mwanaume nikakoma mzigo ukaletwa. Nilicho kikuta huko kilisababisha mpaka leo nawaonea huruma wale wanaosubiri ndoa ndio wapewe tunda.
 
Its women's protection strategy as they study your worth.

Women of substance cannot sleep with every Tom, Dick and Harry who approaches them.

Ok fine, mdada kaniweka friendzone (I respect her decision), bhasi asinilie vipesa vyangu na kunisema vibaya/kunikejeli akiwa huko na marafiki zake wa kike wakati anajua papuchi hatonipa, pia aniambie ukweli kuwa hanitaki na mm kama mwanaume ninaejielewa sitoendelea kumsumbua. Only foolish men wataendelea kumsumbua mdada baada ya kukataliwa & those kind of men deserve a hard punch on their face Karucee
 
Okay,nimekusoma bodabodafasta,tatizo ni mentality yako,ni kwamba mwanamke wako ni wa kumfanya tuu,ikitokea hiyo kitu imekosekana basi hana maana yoyote tena kwako.
Nampa pole sana anaekupenda/kuheshim.
Kama vipi oa kwanza at least utaweza kufanyia zoezi mawazo yako.
Bila kufanya haina haja ya kuwa naye; sasa yeye wa kazi gani?? Kupewa n kuthibitsha upendo na kujali hisia za wengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom