Kwanini wanawake wanapenda kutuweka friendzone?

Kwanini wanawake wanapenda kutuweka friendzone?

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
372
Reaction score
372
Hii inatokea sana kwa sisi wanaume unakuta umemtongoza mdada na kweli upo serious unataka kuwa naye hata awe mke kwa baadae ila unaanza kuwekewa masharti sex subiria kwanza ni mapema mno.

Anasema hayo huku akihitaji mahitaji yake kama pesa na mengine mengi umsaidie ila anakusubirisha kwenye kusudi la msingi la sex.

Mimi hapa huwa nawapoteza wengi sana maana kama itapita wiki sijapata ninachotaka haina haja ya Mimi kuwa friend na mwanamke kama hunipi ninachokitaka na hakuna ninachokipata toka kwako. Only if tuko sehemu moja au tunaonana mara kwa mara ndo nitaendelea kuchombeza chombeza ila akili yangu ilishahama kwako kitambo.

Ebu tuambie huwa mnasubiri nini ndo mtupe papuchi?? Je, huwa hampeleki kwengine wakati tunasubiri kupewa??

Je wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hii hali maana wengine sisi uvumilivu ni zero. Yaani kukaa unamwagilia tunda lililoiva badala ya kulila huu moyo sina kabisa. Hebu tupeane uzoefu
 
Ukiona umeambiwa hvyo jua kuwa umewekwa kwenye foleni....kuna mtu huko anazingua....amekuweka wa ziada endapo akiachana na bwanake...!!mimi watu kama hao hua nakubaliana nao cmtajii sex.....ila siku nampa invitation geto....namchapa huko hlf naendelea kusubiria jibu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha mchapa tayari cndio jbu lenyewe
Ukiona umeambiwa hvyo jua kuwa umewekwa kwenye foleni....kuna mtu huko anazingua....amekuweka wa ziada endapo akiachana na bwanake...!!mimi watu kama hao hua nakubaliana nao cmtajii sex.....ila siku nampa invitation geto....namchapa huko hlf naendelea kusubiria jibu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote mwanamke akikuweka friend zone ninkwamba haja ku feel kama ww unavyo mfeel.
So usichukulie personal, sometimes jiweke kwenye viatu vyake. Kama ungekuwa hujamfeel ungefanyaje? Nn ingekuwa reaction yako?

So usilazimishe. Kama haja kufeel be a man walk away. Wala usiulize sababu.
Hii inatokea sana kwa sisi wanaume unakuta umemtongoza mdada na kweli upo serious unataka kuwa naye hata awe mke kwa baadae...ila unaanza kuwekewa masharti sex subiria kwanza ni mapema mno huku akihitaji mahitaji yake kama pesa, na mengne mengi unamsaidia ila anakusubirisha kwenye kusudi la msingi la sex...mimi hapa huwa nawapoteza wengi sana maana kama itapita wiki sijapata ninachotaka haina haja ya Mimi kuwa friend na mwanamke kama hunipi ninachokitaka na hakuna ninachokipata toka kwako; only if tuko sehemu moja au tunaonana mara kwa mara ndo nitaendelea kuchombeza chombeza ila akili yangu ilishahama kwako kitambo.
Ebu tuambie huwa mnasubiri nini ndo mtupe papuchi?? Je huwa hampeleki kwengine wakati tunasubiri kupewa??
Je wanaume wenzangu huwa mnafanyaje kwenye hii hali maana wengine sisi uvumilivu ni zero.
Yaani kukaa unamwagilia tunda lililoiva badala ya kulila huu moyo sina kabisa ebu tupeane uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote mwanamke akikuweka friend zone ninkwamba haja ku feel kama ww unavyo mfeel.
So usichukulie personal, sometimes jiweke kwenye viatu vyake. Kama ungekuwa hujamfeel ungefanyaje? Nn ingekuwa reaction yako?

So usilazimishe. Kama haja kufeel be a man walk away. Wala usiulize sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
I second this..you said it all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeeeeeeee!!

Ni mwanamke wa Aina gan????km nimtu ambaye anaelewa maisha ninn.... Kua huru mpaka akupe mzigo ni baada ya miezi mitatu ( utafit umeonyesha).ila ukiwa makini unaweza punguza miezi mitatu mpaka siku.kadhaaa..

Kama ni wa kawaida na unajua ni wakawaida kweli BASI ujue Hajakupenda wala nn ,hajakufeel !!!

Alafu ona, Inshu sio kumpa pesa wala nn... Kama hajajenga hisia za kimapenzi,,,,, utabakia Rafiki zone ivoivo.

Then, acha Userious naye sana. Acha mambo ya kumwonyesha unataka kumuoa ,so ndo iwe sababu ya yeye kukupa !!......utasubir
 
Nikwel kabisa usemayo.mfano mimi niko kwenye mahusiyano na nimpendaye huwez Kuamin tunamwaka sasa hatujawai gusana natumekubaliana mpaka tufunge Ndoa na Mungu anatusaidia kuishi hivyo.natunafuraha ya Ajabu.
Papuchi zingine lazima uonje mkuu unaweza chukua jumla ukashindwa kuitumia onja kwanza ujue kitu kipo fresh I kwa matumizi hata ya baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona umeambiwa hvyo jua kuwa umewekwa kwenye foleni....kuna mtu huko anazingua....amekuweka wa ziada endapo akiachana na bwanake...!!mimi watu kama hao hua nakubaliana nao cmtajii sex.....ila siku nampa invitation geto....namchapa huko hlf naendelea kusubiria jibu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Good move mkuu
 
Aiseeeeeeeeee!!

Ni mwanamke wa Aina gan????km nimtu ambaye anaelewa maisha ninn.... Kua huru mpaka akupe mzigo ni baada ya miezi mitatu ( utafit umeonyesha).ila ukiwa makini unaweza punguza miezi mitatu mpaka siku.kadhaaa..

Kama ni wa kawaida na unajua ni wakawaida kweli BASI ujue Hajakupenda wala nn ,hajakufeel !!!

Alafu ona, Inshu sio kumpa pesa wala nn... Kama hajajenga hisia za kimapenzi,,,,, utabakia Rafiki zone ivoivo.

Then, acha Userious naye sana. Acha mambo ya kumwonyesha unataka kumuoa ,so ndo iwe sababu ya yeye kukupa !!......utasubir
Nimeupokea mkuu...maana unAweza ukawa unasubiria uoe kumbe mwingine anajishindia
 
Back
Top Bottom