embu mwambiee mamamwanamke mbaya yupoje tuanzie hapo?
na wewe una uzuri gani?
kiuhalisia ilitakiwa iwe hivyo ila hali halisi si hivyo.Wazuri ndo hao wanaowapiga vibomu daily afu mnalalamika uku jf na ndo scrapers zilozopo mjini
Afu mi najua wazuri ndo wenye kauli mbaya sababu wanajua mpo wengi wa kuwafata tofauti na SISI wabaya
Wazuri ndo hao wanaowapiga vibomu daily afu mnalalamika uku jf na ndo scrapers zilozopo mjini
Afu mi najua wazuri ndo wenye kauli mbaya sababu wanajua mpo wengi wa kuwafata tofauti na SISI wabaya
Acha kujiulzisha unachokjua,mwanamke kuwa na sura ngumu ya baba akemwanamke mbaya yupoje tuanzie hapo?
na wewe una uzuri gani?
Hata hyo mwanamke mbaya kuna Wanaume wanamlilia Mungu hakunyime Vyote. Demu sura Mbaya lakn ana Bonge la Tako. Karbu mtaan kwetu UoneKwanza niweke bayana, uzuri wa mwanamke kila mtu ana uzuri wake ila kuna ukweli mmoja kwamba, wapo wanawake ni universal kwa uzuri, kila mwanaume lazima apige salute, pia wapo wanawake ni universal kwa ubaya, hawavutii kiivyo, hawa ndo naowaongelea.
Katika pitapita zangu hawa ndo wanaongoza kwa nyodo na malingo, ukimwangalia wala hana hiyo thamani, tofauti na wanawake warembo hata kama anakupiga chini anakupiga kistaarabu tu ila waleeeee sasa, hana mvuto na kimsingi unataka kumsaidia tu ila anavyojipandisha thamani.
Wanawake mje pole pole maana nimejipanga.
Mkuu naona unachanganya habari, lazima ujue utofauti wa Maringo, Majivuno, Nyodo n.k.....Wanawake wabaya huwa hawana Maringo, wenye Maringo ni wanawake Wazuri, yani anaringia Uzuri wake hata kama Masikini, Wanawake wabaya baadhi wana Nyodo au Majivuno, yani Kuna kitu anajivunia, anaweza kuwa mbaya mpaka aibu ila akajivuna, ukipeleleza ndo unajua "Ahh! Kumbe yupo na Phd!! Ama ooh, kumbe sababu Ana mchumba wa Kizungu!!" Yani lazima Kuna kitu kinafanya ajivunie, ndo wengi huwa na nyodo pia....mfano mtu kaenda Bar kanunua Kreti ya bia hafu anaoshea gari yake, huwezi kusema huyo anaringa, ila hiyo ni Nyodo, So wanawake Wabaya hawaringi! Kumbe wataringia nini na ni wabaya! Ila baadhi ndo wanamajivuno!Kwanza niweke bayana, uzuri wa mwanamke kila mtu ana uzuri wake ila kuna ukweli mmoja kwamba, wapo wanawake ni universal kwa uzuri, kila mwanaume lazima apige salute, pia wapo wanawake ni universal kwa ubaya, hawavutii kiivyo, hawa ndo naowaongelea.
Katika pitapita zangu hawa ndo wanaongoza kwa nyodo na malingo, ukimwangalia wala hana hiyo thamani, tofauti na wanawake warembo hata kama anakupiga chini anakupiga kistaarabu tu ila waleeeee sasa, hana mvuto na kimsingi unataka kumsaidia tu ila anavyojipandisha thamani.
Wanawake mje pole pole maana nimejipanga.
Ukimwona mwanamke anaringa anacho cha kuringia, sio sura tuumwanamke mbaya yupoje tuanzie hapo?
na wewe una uzuri gani?
mwanamke mbaya yupoje tuanzie hapo?
na wewe una uzuri gani?
Mmhh hili swali lakooooooMama yako ni mzuri?
Nimeuliza tu kama ni mzuri, na kama siyo mzuri je, anaringa?Mmhh hili swali lakoooooo