Kwanini wanawake wa Kitanzania wanadharau za kijinga?

Umekutana na wangapi maan inaonyesha ka list kako kamechangamka.
Wanaume acheni maneno jamani mnatuchosha🙆🙆
 
Hajadanganya ni ukweli wanaume wa kitanzania ni wavumilivu wa drama zetu wanawake na wanabembeleza sana kingine tamaduni za watanzania tulio wengi mwanaume anatakiwa kumtunza mwanamke wake sasa hiyo wakienda huko nje wanaiishi,, ndo hapo wanawake wa mataifa mengine wanapojigonga,, kuthibitisha hili jaribu kumdate mkenya mganda au mnigeria uje hapa kusimulia
 
Kuna tatizo kubwa sana Kwa wabongo hata wanaume one love ya kweli hasa ugenini haipo wengine hate na majungu, mfano south Africa Adui mkubwa wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe

Correct Mkuu, Nimewahi Kaa SA ilikuaa bora Uwe na Rafiki Mzulu Ila Sio Mtanzania
 

Sijui Shida ni Malezi Au Changamoto ni Nini Kwa Dada Zetu wa Kitanzania
 
Na nyinyi msiseme tu wanawake wanadharau mm binafsi cpendag shobo za kijinga km mwanaume zingatia mipaka yako mnavuka mipaka Sana unakutana na mtu vzur unamuheshimu vzuri jioni anakuita lodge lazima nikuzarau ukiangalia umri wa baba ako badilikeni
 
Madem wa kibongo,mnazjngua Sana,mko afisi moja,anakudharau kiss hakujui una Nini,siku akija kwako akiona ulivyonipanga. Na Mambo yako swaafi kwa kila kitu anaanza kujibebisha
 
Niko platform Moja ya mazoezi inajumuisha nchi nyingi Sana duniani....wanawake wengi wa mataifa kama south Africa , Kenya, ulaya na america yaani wana socialize vizuri Sana...ukija wabongo Sasa kwanza ni fully kichefuchefu kwanza wanaringa , hawako social kabisa na wanajudge watu Sana kwa mwonekano....Wapo wachache Sana they are nice ...ndio maana Mimi huwa sipotezi muda kabisa Kwa wanawake wa kitanzania.....Wana ulimbukeni na kujiona Sana ...halafu KIKUBWA wengi wadangaji tu....mdangaji hawezi value mtu yeye anagaalia pochi la mwanaume .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na nyinyi msiseme tu wanawake wanadharau mm binafsi cpendag shobo za kijinga km mwanaume zingatia mipaka yako mnavuka mipaka Sana unakutana na mtu vzur unamuheshimu vzuri jioni anakuita lodge lazima nikuzarau ukiangalia umri wa baba ako badilikeni
Hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some points upo real hongera sana hata humu wapo hawana lolote kabisa full kujiona Hana mbele katikati popote pale shishss
Hela za misimu,
Wanaume wabongo it's the same wanaringa hawana lolote makuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…