Kweli kabisa, ukatili hauhusiani na jinsia hata kidogo.Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ukatili hauhusiani na jinsia hata kidogo.
Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini hiyo jamii ilihalalisha mwanamke afanye ukatili? Madawati ya kuwatetea yapo ndio na kazi yao kutetea changamoto wanazopitia wanawake na kuwasaidia.Mbaya zaidi jamii imeamua kumsikiliza mwanamke na mpaka madawati ya kuwatetea yapo mantink yangu ni kua mwanamke anapewa baraka zote na jamii kutekeleza ukatiliwake, sijui kama naeleweka hapa ?
avatar yako tu, mimi hoi bin taaban. Nadhani huu pia ni ukatili....Lini hiyo jamii ilihalalisha mwanamke afanye ukatili? Madawati ya kuwatetea yapo ndio na kazi yao kutetea changamoto wanazopitia wanawake na kuwasaidia.
Hao wanaofanya ukatili ni matatizo yao binafsi ila kuna aliyehalalisha hilo
Uwii avatar yangu imekuaje tenaavatar yako tu, mimi hoi bin taaban. Nadhani huu pia ni ukatili....
Lini hiyo jamii ilihalalisha mwanamke afanye ukatili? Madawati ya kuwatetea yapo ndio na kazi yao kutetea changamoto wanazopitia wanawake na kuwasaidia.
Hao wanaofanya ukatili ni matatizo yao binafsi ila kuna aliyehalalisha hilo
Inaonekana kuna jambo behind this, haiwezekani uchukie wanawake kiasi hiki. Anyway kitabu cha dini kilisema "muishi nao kwa akili" nadhani majibu la maswali yako yote yapo hapo"Kuwatetea" kwa kua wao ni "special sana" ??! Au kwa kua "wanamewa sana"??! Je inapotokea kua hawaonewi ila wao wanasingizia, HILO DAWATI LINACHUKUA HATUA GANI ?!! Na kuonyesha jinsi wanawake wana roho mbaya hata hawaguswi pindi matendo yao YA KINYAMA yanawaumiza wanaume.
Haahahaaa hadi avatar yangu yakupa kiungulia mkuu! Pole sanaAvatar ya kudownload mkuu, ukikutana nae live ndo utajua kua hujui kua bi kidude bado yu hai na yuko JF kwa avatar hyo.
Ni tabia ya binadamu wengi kupenda ku generalize mambo. Mfano limefanywa na mtu wa jinsia moja basi utasikia jinsia fulani ni hivi na hivi.Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili
Sent using Jamii Forums mobile app