A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 125
- 269
Changamoto za kifamilia daiwa huwa zinatofautiana kati ya familia na familia.Habari za leo ndugu zangu! Ningependa mnisadie kwanini Kwenye suala la kutembelea ndugu ,Hasa wale wenye uwezo wa kifedha...
Habari za leo ndugu zangu! Ningependa mnisadie kwanini Kwenye suala la kutembelea ndugu ,Hasa wale wenye uwezo wa kifedha...
Njoo huku jibu hili hapa...Sisi ni shida
Wengi husema wanawake ndio husbabisha sehemu fulani pasifikike .Naona inategemea familia na familia, wengine ndio, wengine sio...
Japo wanasema wanawake kwa maneno hawajambo...
Kweli . Kukaa sehemu ambapo si kwenu nao mtihanishida tu ndo zinatupeleka kwa ndugu
tuvumilie tu kama kuna ulazima wa kwenda kwa ndugu
Ooh nimekuelewa.lengo langu pia nielewe Zaidi hili swala.Changamoto za kifamilia daiwa huwa zinatofautiana kati ya familia na familia.
Changamoto nilizonazo mimi, siyo lazima zifanane na za kwako. Kwamba kwanini wanawake huonekana kikwazo, hilo ni suala mtambuka.
Hapana ,naomba unieleweshe!Ke wote ni sawa kiakili lakini hawafanani kitabia.
Je wajua ni kipi shetani aliongea na Ever/Hawa bustanini Eden kabla ya kumpatia Adam tunda ale?
Oky kaka wanakuja.Hebu watusaidie kujibu
Yeah! Hata hapa pia napo swali langu lingejibiwaLabda swali lingkuwa Kwa nini uende kwenye familia za watu bila Sababu maalum?
Wanawake hupenda sababu maalumu ili wakuelewe.
Kivip? Kwa sababu hata kwenye kusoma unakuta mtu anafunga shule anaenda kwao nauli 90k wakati likizo ni a week na kwenye mkoa huo ana baba mdogo yake ila haendi kisa mkewe gumzo!Sisi ni shida
Kweli aisee.Tulieni majumbani mwenu acheni kushika watu uchawi
Ndo ivoKivip? Kwa sababu hata kwenye kusoma unakuta mtu anafunga shule anaenda kwao nauli 90k wakati likizo ni a week na kwenye mkoa huo ana baba mdogo yake ila haendi kisa mkewe gumzo!
Tena mtihani wa chuoKweli . Kukaa sehemu ambapo si kwenu nao mtihani