Kwanini wanawake mnawapenda wanaume wacheshi?

Kwanini wanawake mnawapenda wanaume wacheshi?

Wakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.

Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?

Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.

Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wacheshi?
Mwanaume anaejifanya kauzu, userious mwingi muda wote na mambo kama hayo anaboa sana.
 
Wakuu mambo vipi aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.

Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?

Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.

Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wacheshi?
Wanawake wanapenda mtu wa kuwafurahisha, kuwapa raha hicho ndio Cha muhimu kwao, uchechi Kwa mwanamke ni kama chatu na mbwa.
 
Mbona wachekeshaji wanaachika tu!!!😂😂😂😂😂😂😂
Ucheshi Sio kuchekesha peke yake, ni uchangamfu pia na utani wa hapa na pale, wanaweza kuwa wanaachika lakini wakawa wamekula wanawake wazuri wazuri 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom