Kwanini wanawake mnawapenda wanaume wacheshi?

Kwanini wanawake mnawapenda wanaume wacheshi?

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
322
Reaction score
902
Wakuu mambo vipi aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.

Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?

Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.

Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wacheshi?
 
Hivi viumbe havijawahi eleweka, mi ni mkimya sana niwapo mazingira ya gheto, lakini mademu napata wa kutosha, kwa kuwa mie huwa sinaga mazoea kabisa, mkimya sio poa! kwanza huwa wanashangaa eti imekuwaje, yaani muda wote unarusha voko ila yeye anakushangaa eti "kumbe na wewe huwa unaongea?"

Nilivyo mjinga, na mimi nampeleka kijeshi, mwendo wa kishalkhani, sasa ndo anajiona amepata mtu hata njiani, sinaga tabia ya kugeuka nyuma hata kama apite bidada mwenye zigo la aje, sasa hapo nakuwa nshamchanganya bidada wa watu, baada ya wiki namtafutia kimasihara, ananipa yote na miuno juu, na sauti ananitolea kwa moyo wote na kwa nguvu zake zote!

Hence, hivi viumbe havitabiriki ukiondoa binadamu!
 
Hivi viumbe havijawahi eleweka, mi ni mkimya sana niwapo mazingira ya gheto, lakini mademu napata wa kutosha, kwa kuwa mie huwa sinaga mazoea kabisa, mkimya sio poa! kwanza huwa wanashangaa eti imekuwaje, yaani muda wote unarusha voko ila yeye anakushangaa eti "kumbe na wewe huwa unaongea?" Nilivyo mjinga, na mimi nampeleka kijeshi, mwendo wa kishalkhani, sasa ndo anajiona amepata mtu hata njiani, sinaga tabia ya kugeuka nyuma hata kama apite bidada mwenye zigo la aje, sasa hapo nakuwa nshamchanganya bidada wa watu, baada ya wiki namtafutia kimasihara, ananipa yote na miuno juu, na sauti ananitolea kwa moyo wote na kwa nguvu zake zote!

Hence, hivi viumbe havitabiriki ukiondoa binadamu!
Daaah noma mkuu basi tunaweza kusema kila mwanamke ametofautiana maana wapo wanaoependa watu vituko na wengine wanapenda wanaume wasio waongeaji
 
Wakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.

Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?

Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.

Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wacheshi?
Hao maduu wangapi!!!? Kumi ishirini thelathini ama wangapi??? Isije kuwa hata saba hawafikii
 
Mwanamke huyo huyo anayependa mcheshi pia anapenda:
Mkimya
Dereva
Bodaboda
Askari
Mlevi
Mwenye pesa
Mwenye cheo
Machinga
Muuza genge

Kwa hiyo usihofu mkuu. Katika nafasi na hali yako utapendwa na papuchi utakula.
Sawa mkuu
 
Wakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.

Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?

Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.

Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wache
 
mcheshi pia awe nahela awe haendisami nakwabed awe si haba kama mie walaii inakuwa wanakupenda mpka wanakubal hawapo peke yao
 
Bado tuko chapter ya hela unazo we unajump chapter
Mkuu unauhakika ucheshi utalipia outings

Hiyo chapter bado bhana
 
Wakuu mambo VP aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza.

Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi?

Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana mademu wakali kisa tu mcheshi komediani yaani nilimuuliza akaniambia kuwa yeye uwa anawachekesha maduu wanajaa wenyewe anawagonga.

Swali kwann mademu mnawapenda wanaume wacheshi?
sio wote mm mbon nimkimya sana ila ninambavu nene mzee wa tize na gmy nashobokewa na kila lika kuanzia madem wa vyuo had wa sekondal wote napitanao
 
Back
Top Bottom