Kwanini wanawake mkishaolewa mnakua rafu sana?

Wanawake tukiachana na kuzidiwa na majukumu yao ni watu wa kufanya makusudi sana wakijinasibu kuwa ndio lugha yao ya mapenzi.

Wanavijitabia vingi sana vya kukera ambavyo huwa wanavifanya kwa makusudi ili kukupima utawafanya nini. Huwa inakera sana especially kwa watu ambao mshaingia katika mahusiano serious na hata ndoa.

Kunatabia mfano kukaa mbali na simu yaani unapiga simu itaitaa weeee hadi mtu unaamua kupigia jirani aende amwambie apokee simu unamtafuta....

Kunatabia ya kuacha nyumba katika mazingira yasiyo ya usafi mfano wameacha vyombo hapo mezani hakuna usafi unafanyika yaani nyumba inakuwa sio safi hadi mtu kuleta mgeni home ni hadi upige simu utoe maagizo....

Kwahiyo hata hii ni miongoni mwa tabia mbaya ambapo unakuta binti anajiweka rough kwa makusudi hadi akusukume uanze kutafuta wanawake wasafi huko nje aaanze kulialia...
Hapo nimekubali wakati unamuoa anakuwa msafi akishazoea hata kupiga deki kwa mwezi maramoja wanawake mhmm hatari
 
Kwakweli kwa huyu sijui ni laana , nguo za kisasa na mnunulia za kutosha tena naenda nae achague mwenyewe kabisa asije sema hajazipenda , Cha kushangaza anazipanga tuu kabatini kwa kweli, nywele kila muda na mpa Ela za kusuka Ila kusuka hasuki ni yeye na mabutu tuu , pafyum anazo za kutosha , mafuta ya kila Aina na viatu vya kila Aina , isitoshe kila kitu na mpatia bt ndio hivyo jamani.. mm nimeongeanae awe Kama ni navyo taka but anaitika na kuomba MSAMAHA Kama ananikosea kua rafu na kuahidi atabadilika Ila mpaka Sasa hakuna mabadiliko yeyote, naombeni ushauri wa kina jamani ,
Umemtoa wapi?.
 
Hapo nimekubali wakati unamuoa anakuwa msafi akishazoea hata kupiga deki kwa mwezi maramoja wanawake mhmm hatari
Kupiga deki mahali mnapoishi!! Hilo ni zaidi ya tatizo, huo ni uchafu na kutokujipenda na hii inategemea mtu na mtu lakini zaidi sana inachangiwa na malezi. Kwenye urafiki na uchumba watu huwa wana fake sana reality inakuja pale mnapoanza kuishi pamoja
 
Tunajisahau tukisemee nipendeze hiyo vp wakat nishaolewa nshapendwa tunasahau mwanaume habadilkka mda wowote akina mama wenzangu tusijisahau mda mwngn wenyew twavunja ndoa na mahusiano kwa mikon yetu. HASA TUKISHAZAA NDO BALAA

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom