Kwanini wanawake huwaza kupima HIV baada ya kuliwa dry?

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
96
Kuna wanawake wawili wamenipa nguvu ya kuuliza hivyo..
1. Nilikua nae kwa mda mrefu tukiwa tunafanya bila kondom ila siku moja alinishangaza baada ya kunambia tukapime ukimwi, tukaenda na wote tukawa hatuna (negative)

2. Na wapili nae ndo wale wale, mara ya kwanza mpaka ya 3 hv tulitumia kondom, mara mbili baadae ikawa kavu kavu, naye jana ananiambia hatufanyi tena hadi tukapime...nmemwambia twende kesho..

Sasa mie najiuliza, habari ya kupima kwanini wasiitoe kabla ya ku-do? Ntoeni kwenye fumbo hili
 
Bora hata wanaokumbuka shuka kumekucha kuliko wewe unauza mechi tuuuuuu hata umuhimu wq kupima bado una question!!!!!!
 
unatakiwa kushukuru at least umekutana na mtu mwenye upeo kidogo
 
Kuna wanawake wawili wamenipa nguvu ya kuuliza hivyo..
1. Nilikua nae kwa mda mrefu tukiwa tunafanya bila kondom ila siku moja alinishangaza baada ya kunambia tukapime ukimwi, tukaenda na wote tukawa hatuna (negative)

2. Na wapili nae ndo wale wale, mara ya kwanza mpaka ya 3 hv tulitumia kondom, mara mbili baadae ikawa kavu kavu, naye jana ananiambia hatufanyi tena hadi tukapime...nmemwambia twende kesho..

Sasa mie najiuliza, habari ya kupima kwanini wasiitoe kabla ya ku-do? Ntoeni kwenye fumbo hili
Kimaumbile, probability ya kupata ngoma kwao ni kubwa kuliko mwanaume... Yaani mwanamke manii zikimwingia tu, kama zina ngoma, basi ameupata... lakini mwanaume ni mpaka michubuko... Sasa kama wewe hua unafanya tartiiiibuuu, basi hata kama anao anaweza asikuambukize

Hao ni vilaza wanaokumbuka neti wakati washaliwa na mbu!
 
Unatakiwa kushukuru kwamba ume fanya hivyo na hao wote, na wamekukumbusha kitu cha msingi

Usirudie Tena Jambo hilo, maana ni hatari kwa afya yako

Na muhimu zaidi Mungu haruhusu hayo, unampa nafasi Shetani, utajuta
 
Kuna wanawake wawili wamenipa nguvu ya kuuliza hivyo..
1. Nilikua nae kwa mda mrefu tukiwa tunafanya bila kondom ila siku moja alinishangaza baada ya kunambia tukapime ukimwi, tukaenda na wote tukawa hatuna (negative)

2. Na wapili nae ndo wale wale, mara ya kwanza mpaka ya 3 hv tulitumia kondom, mara mbili baadae ikawa kavu kavu, naye jana ananiambia hatufanyi tena hadi tukapime...nmemwambia twende kesho..

Sasa mie najiuliza, habari ya kupima kwanini wasiitoe kabla ya ku-do? Ntoeni kwenye fumbo hili

Kwa hiyo wewe huwazi kupima Ukimwi? Unaweza ukadhani unajua kumbe hujui.
 
Mi napenda ile mnapima huko huko chumbani. itasaidia nini leo mnapima baadae mnaishia zenu then after a week mna do tena bila kupima.
 
eheh BABA WA MBINGUNI tuponye kizazi hiki cha digital
 
Back
Top Bottom