Inatokea umekaa na mdada au mwanamke baada ya muda anabana miguu anakua anamanisha nini?
Hii imenitokea tukiwa tumekaa kwenye foleni tukisubiria huduma sasa bidada nikaona kama kalegea hata anavyoongea.
Hawa viumbe ukimwambia kaa vizuri wakati wa mchana, lazima atabana miguu.
Na cha ajabu ni pale unapo mwambia akae vizuri wakati wa usiku, hapo ata panua miguu....tehteehh