Kwanini wanawake hawana kismati cha pesa ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Uwe mwanaume , uwe mwanamke...ukitaka kupata pesa deal na wanaume , jenga network na wanaume wengi zaidi kuliko wanawake.

Wanaume wanakupa deals . Wanaume wanakupa kazi. Wanawake hawana bahati / kismati cha pesa kabisa. Wanawake wanatumia pesa tu. Ni mwema kwao ukiwa na pesa tu.
 
Hili ni jambo la asili, kumbuka pesa inakuja kwa kufanya kazi ilhali wao wata zaa kwa uchungu
 
Inabidi ukubali kufanya kazi ya ziada ya kumfanya mwanamke afeel kwamba she is also responsible to create wealth.
 
Kuna ukweli kutokana mfumo uliowekwa wa kijamii/kidini (wanaume kuwa wahudumiaji na wao watunzaji wa familia)

Any way wanawake wa mikoani/vijijini ndio wazalishaji wakubwa kuliko wanaume.Tusidharau uwezo wao pia
 
Uwe mwanaume , uwe mwanamke...ukitaka kupata pesa deal na wanaume , jenga network na wanaume wengi zaidi kuliko wanawake.

Wanaume wanakupa deals . Wanaume wanakupa kazi. Wanawake hawana bahati / kismati cha pesa kabisa. Wanawake wanatumia pesa tu. Ni mwema kwao ukiwa na pesa tu.
Naaani kasema!? Riziki ya mtu ii mikononi mwake kama itakuwa haijaharibiwa
 
Kupata au kukosa pesa inategemea na kampani na network yako...

Wapo wanaume mabogasi kabisa na wanawake werevu kwenye kupeana michongo...

Wapo wanawake mabogasi kabisa na wanaume werevu kwenye kupeana michongo...

Cc: mahondaw
 
Hujatuambia mwanamke kama mke,kahaba/malaya/dangaji au demu?

Au mwanamke yeyote ili mradi ana almentary canal inayoanzia oesophagus nwisho anus, au kuanzia internal reproductive organs mwisho external organ/vulva?

Come on,ukuje utupashe mkuu.
Kama unafanya mishe na wanawake wadangaji wanaofanya ngono 24/7 huwezi kupata hela/kismati.
Tafuta mwanamke anayejiheshimu na mwenye akili timamu uone mkwanja unavyotiririka kwenye wallet.
 
You are right,wanaume mabogasi silaha yao ni kusimamia kucha kwa wanawake werevu.

Wanaume werevu wanaangamizwa na silaha "k" ya mwanamke bogasi.

Dunia ina mambo,tema mate chini.
Kupata au kukosa pesa inategemea na kampani na network yako...

Wapo wanaume mabogasi kabisa na wanawake werevu kwenye kupeana michongo...

Wapo wanawake mabogasi kabisa na wanaume werevu kwenye kupeana michongo...

Cc: mahondaw
 
You are right,wanaume mabogasi silaha yao ni kusimamia kucha kwa wanawake werevu.

Wanaume werevu wanaangamizwa na silaha "k" ya mwanamke bogasi.

Dunia ina mambo,tema mate chini.

Hiyo ni topic nyingine...

Nachozungumzia ni kwenye utafutaji pesa...

Bila kuhusisha mapenzi...

Cc: mahondaw
 
Au mwanamke yeyote ili mradi ana almentary canal inayoanzia oesophagus nwisho anus, au kuanzia internal reproductive organs mwisho external organ/vulva?
Teacher wangu wa Biology tulikuwa tunakosana kwa sababu ya mambo kama haya uliyoyataja;mara almentary canal, mara anus mara vulva.
What the hell!!!
 
Back
Top Bottom