tatizo au niseme uzuri..wanawake huwa wanajikabidhi kwa wenzi wao wazima wazima, in other words wanawake (walio wengi) ni watu wa ku-settle down. sasa mtu keshaamua kuwa na Juma mara huyo Juma amwambie to ze left inakuwa ngumu ku-accept sababu anakuwa ameshajipatia kidume chake cha mbegu. na wanaume walio wengi hawatambui mwanamke mzuri anapokuja, sababu wameshazoea kula na kutupa. na wengi wao wanaishia kuchagua koroma....