Acha mambo yako wewe kidole sio kinyesi..Yuko sahihi n sawa na kuogopa mvua wakat ukirud unaoga....sema kutakua na sabab .....labda kwa sabab wapimaji wengi n wanaume
Taratibu mgonjwa hachagui drMi wala sikatai kupimwa ila kwa masharti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
1. Dkt awe mwanamke
2. Baadae awe girlfriend wangu
![]()
![]()
La sivyo sipimi hata kwa bunduki na nitatembeza vitasa kwa kila anaetaka kunipima
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sitapima nitabaki na tezi yanguVip kingekua kinatumika kijiti!!.... Ndyo maana nimesema labda wangekua wanapima wanawake phobia ingepungua
Duu jamani ila kuna njia nyingine si hiyo tuLazima afurahie tiba!
Ya damu!!!? Utaanzaje damu kabla ya physical therapy? (NDOLE?)Duu jamani ila kuna njia nyingine si hiyo tu![]()
Kuna damu na ultrasound mkuu picha imezingua kuweka hapaYa damu!!!? Utaanzaje damu kabla ya physical therapy? (NDOLE?)
Na unajitegesha njia nzma hata kabla hujaambiwaHaya magojwa bwana lakini ukiumwa sana wewe mwenyewe utasema nipelekeni nikapimwe tezi dume
Weeeeeeeeeeeee mama hapana chezea kidole aisee,kuingizwa kidole kwa mwanaume ni tusi aisee km ni hilo tezi acha liishi huko tu mpaka cku ikifika.Cha ajabu wanakunya kila siku tena Upana wa kinyesi ni mkubwa kuliko kidole cha kati na wengine hata wana constipation lkn anavunga kuogopa kuingizwa kakidole tu!
Aaah mkuu acha masihara. .haina jinsia hiyo dole dolee tu.ita-depend na jinsia ya Dkt. atakaekua zamu!
hahhhhhhhhahhhaaKwa style hii wanaume wa dar nawaonea hurumaView attachment 754794
Aaaah sio poa kabisa mzee babaHivi rais mstaafu nae alipimwa hivi?? Mimi huwezi nipima kwa mtindo huu!