Kwanini Wanaume wana roho ngumu sana? Ngachoka!

Anajua nilikuwa na mtu mwingine!
Tuseme labda alkw anataka kufanya kisasi ila ili iweje? Ni immaturity

Wewe nawe kumsumbua mtu miaka minne alafu ukamkubalia ni immaturity, kutokujielewa na kukosaa msimamo.

Yaani umsumbue mtu miaka minne alafu unategemea siku ukimkubalia yeye ndiye atakuoa, 🤣 🤣 🤣 🤣 Tena ushukuru umekutana na huyo.
Mimi huwezi nizungusha hata mwezi tuu ukabaki salama.
Nakutongoza leo, ndani ya siku saba uwe umenikubalia, ukinikatalia zile za sitaki nataka, nabadili malengo, nitakuwa nakutongoza ili nione hicho unachonificha,

Huna bikra alafu unizungushe miaka minne,loooh!
Kama nasomea Bachelor fulani hivi ya Law
 
Jamani nilikuwa offline nashindwa kujibu comment zote ila nashukuru kwa kuchangia. Nashukuru hasa wale waliojaribu kunielewa ingawa ni wachache sana.

Mimi nilimkubalia huyo jamaa maana niliona still anaonyesha effort tena pale nilipoanza kuonyesha interest pia ndo alionyesha juhudi kupitiliza, alikuwa muwazi sana kwangu alinipa muda wake pale alipoweza kiasi kwamba nikaona huyu ndo mwenyewe. Yani ni vitu vingi alikuwa anafanya miezi ya mwanzo. Kiasi kwamba najiuliza kweli mwanaume unatumia juhudi zote zile ili tu ulale na mwanamke aisee ni ujinga kwakweli. Swali nalojiuliza how far can a man go just to sleep with a lady?? Najibu nilolipata ni kwamba anaweza kwenda mbali sana. Na ni ujinga sana

Pia kama nilivosema mizunguko yangu ni michache circle yangu ni ndogo! Hata sasa naweza sema wanaume wachache ambao wananitaka ni walewale niliosoma nao shule hasa Advance na chuo ambao nao walionyesha interest miaka kadhaa na bado wananichekicheki sasa kwamaana hiyo kwa majibu niliyopata hapa nisithubutu kumpa hata mmoja nafasi maana nao watakuwa na revenge plan??? Basi sawa nitafanya hivyo. Nisubiri nikutane na watu wapya kabisa. Ambapo ni kipengele.

Anyways ni hayo tu, wanaume punguzeni hasira na roho ngumu.
 
Mkuu una kaujinga fulani, so mtu akionyesha efforts ndio unafikiri anakupenda?

Wewe umzungushe msela kwa miaka minne bila sababu ya maana alafu umkubalie bila sababu ya maana, kisha unadhani yeye atakuacha kwa sababu ya maana?

Siku nyingine ukitongozwa hakikisha jibu limepatikana ndani ya siku saba. Kama humtaki sema humtaki, kama unamtaka sema unamtaka. Zingatia mwanaume hachoki kutongoza pale tuu akimuona mwanamke anayemtamani au kumpenda.

So hata ungetongozwa miaka hamsini haiwi sababu ya kusema anakupenda,

Mwanaume kutongoza ni jambo la lazima mpaka aingie kaburini
 
Miaka minne unafikiria jamaa alikua anakusubiri tu huenda mwanzoni alikua serious sana na wewe ila alivyoona unazingua akawa anaendelea kukutafuta akijua siku utaingia tu king atakunyandua then ataendelea na maisha yake na kweli ukajaa mission ya jamaa imeisha.
Siku nyingine usimsumbue mtu kwa mda mrefu hivyo.
Miaka minne yote si atakuwa alishaoa na kupata mtoto halaf wewe ndo unamkubali na yeye hawez kukataa penz na hakuna mwanaume anaye kataa papuch
 
Jamani nilikuwa offline nashindwa kujibu comment zote ila nashukuru kwa kuchangia. Nashukuru hasa wale waliojaribu kunielewa ingawa ni wachache sana.

Mimi nilimkubalia huyo jamaa maana niliona still anaonyesha effort tena pale nilipoanza kuonyesha interest pia ndo alionyesha juhudi kupitiliza, alikuwa muwazi sana kwangu alinipa muda wake pale alipoweza kiasi kwamba nikaona huyu ndo mwenyewe. Yani ni vitu vingi alikuwa anafanya miezi ya mwanzo. Kiasi kwamba najiuliza kweli mwanaume unatumia juhudi zote zile ili tu ulale na mwanamke aisee ni ujinga kwakweli. Swali nalojiuliza how far can a man go just to sleep with a lady?? Najibu nilolipata ni kwamba anaweza kwenda mbali sana. Na ni ujinga sana

Pia kama nilivosema mizunguko yangu ni michache circle yangu ni ndogo! Hata sasa naweza sema wanaume wachache ambao wananitaka ni walewale niliosoma nao shule hasa Advance na chuo ambao nao walionyesha interest miaka kadhaa na bado wananichekicheki sasa kwamaana hiyo kwa majibu niliyopata hapa nisithubutu kumpa hata mmoja nafasi maana nao watakuwa na revenge plan??? Basi sawa nitafanya hivyo. Nisubiri nikutane na watu wapya kabisa. Ambapo ni kipengele.

Anyways ni hayo tu, wanaume punguzeni hasira na roho ngumu.
Mkuu mbona sasa hujasema kama chura unayo??

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Kuna manzi mmoja nilimtongoza sana long time kitambo na nilikuwa nampenda sana kipindi hiko ilikuwa mwaka 2016, akawa ananizungusha tu mbwembwe kibao nikaachana nae ilipofika 2019 akakubari kutoa mzingo huku akisisitaza sana yuko serous mno, wakati huo mimi tayari nina mchumba na nilishaanza vikao vya harusi tayari, Nikaendelea kumtafuna mpka wiki moja kabla ya ndoa yangu nikapmptezea badae anona picha zangu za ndoa akanywa sumu ya panya bahat nzuri hakufa... So msifikili sisi tunavyowatongoza mnatuzungusha tunawasubili nyinyi never.
Utakuta na yeye alikuwa kwenye mahusiano kwaiyo alisubili ya bomoke ili aje kwako
 
Kuna jinsi ambavyo ukimkataa mtu inaweza fanya ukafungie kazi. Na ukija ingia tu kingi umekwisha.😀😀
 
Kuna binti alinipigisha kwata mwaka mmoja kamili mwisho wa siku akaja kujaa kumbe hana kila kitu ni nje tu yaani nilijuta hadi leo najuta kwa nini hii tamaa ilinituma kubaya hivi
Angalizo ukitongoza mwanamke akalinga achana nae mara moja
 
hakuna mwanaume anafuatilia mtu miaka minne, kipindi hicho ndo alikuelewa kwa sasa hawezi kuwa na ww zaidi ya kula kipochi manyoya na kuondoka, kikubwa ukipendwa komaa na anayekupenda sasa , sio unamzungusha mtu mda mrefu hujui nyege zake nani anamtoa unamuweka friend zone ukijua ndo wife material lazima uchelewe yeye lazima atafute sehemu yakutolea hamu zake pia
Na hawana hata miguno kabisa yaani
 
Kuna binti alinipigisha kwata mwaka mmoja kamili mwisho wa siku akaja kujaa kumbe hana kila kitu ni nje tu yaani nilijuta hadi leo najuta kwa nini hii tamaa ilinituma kubaya hivi
Angalizo ukitongoza mwanamke akalinga achana nae mara moja
Ni kwel. Mwingne anajua kabisa ana kasoro fulan ndomana anakuzungusha..sabab hatak uone kasoro hyo. Ukifosi ndo kama hvo
 
Kuna manzi mmoja nilimtongoza sana long time kitambo na nilikuwa nampenda sana kipindi hiko ilikuwa mwaka 2016, akawa ananizungusha tu mbwembwe kibao nikaachana nae ilipofika 2019 akakubari kutoa mzingo huku akisisitaza sana yuko serous mno, wakati huo mimi tayari nina mchumba na nilishaanza vikao vya harusi tayari, Nikaendelea kumtafuna mpka wiki moja kabla ya ndoa yangu nikapmptezea badae anona picha zangu za ndoa akanywa sumu ya panya bahat nzuri hakufa... So msifikili sisi tunavyowatongoza mnatuzungusha tunawasubili nyinyi never.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuuu mbona unaelezea mkasa wangu
 
Niwe muwazi, hata ingekuwa mimi ningefanya kama alivyofanya jamaa. Hauwezi ukanisumbua muda wote huo halafu eti nisilipize kisasi. Tena mimi ningekupiga tukio kubwa kwelikweli hadi ungeandika jina langu kwenye ukuta wa chumba chako. Siku nyungine usirudie.
umenikumbusha joyce alivopigwa tukio akapotea mazima sijui alikufa yule!!

Alizingua mno.mpaka wanalala na jamaa ake kitanda kimoja lkn hatoi mzigo. Ila kuna mijamaa inakula kiubweete!

Siku moja kajichanganya katoa mzigo kwa jamaaa usiku kucha weeeee!!
Majibu hayakuchelewa.

Hkn rangi ambayo hakuiona..tena kimya kimya tuu! Alipotorokea hkn aliye jua. Na hapa navoongea sijui km bado yuko hai.jamani khaaaa!!wanaume??!!ptwiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom