Kwanini Wanaume wana roho ngumu sana? Ngachoka!

Binafsi, linapokuja swala la kisasi kwa mwanamke as long as huyo mwanamke sihitaji kuwa naye tena kisasi huwa ni mara moja tu. Hii ni kwa sababu ukiendelea kujibizana mapigo na mwanamke inaonekana kama nitakuwa nashindana na mwanamke kitu ambacho kwangu haki-sound poa.

Kwenye hiyo scenario yako ni waxi huyo demu maneno yalimuuma na anafanya hivyo kwa nia mbili,

i) ili uone kwamba hata asipokuwa na wewe kuna wana kibao wana-rock naye. Ni kama mpango wa kukufanya uone wivu. Akiamini kufanya hivyo kutatuliza maumivu yake.

ii) Ni mtego ili ujichanganye kwa namna yoyote akupige tukio wewe....kwa hiyo ili apunguze machungu.

Kwa hiyo maoni yangu ni kuwa, vunga kama hakuna kinachoendelea. Kama ni status una view kama kawaida ila usijibu chochote, si kwa emoji wala maneno yaliyokaa ki-positive au ki-negative. Hii itamuumiza zaidi na kwangu mimi hii ndo double revenge nzuri kwa sababu anafanya hivyo ili akuchokoze.

Ila kama unataka kumpiga tukio ambalo litabaki kama ukumbusho, subiri ikitokea siku akaleta kwato zake tena, unambutua then baada ya kumaliza kugegeda unamtemea shit za kutosha na unamwambia avae haraka asepe.
Hujawahi kurogwa wewe naona!!! Umfanyie hivi mtoto wa kike??
Labda uwe mchawi sana tena sana hata majambazi atakutafutia wallah nakwambia.

Ndo maana mnapinda mishedede!! na kumroga mwanaume ushoga ni rahisi tu
 
Sijawahi kuendekeza hofu kuhusu uchawi.....

Hapa penyewe kuna mmoja alijifanya mjanja, sasa hivi ameanza kujileta. Sasa nasubiri ajae vizuri nimpige tukio then nalala mbele. Hauwezi kucheza na hisia za mtu halafu uachwe tu akae kwa amani. Never.
 
Mkuu nakuomba sana uache!! Iko siku utakumbuka maneno yangu ke anaua mimba ziso idadi na hajuti sembuse weye nani?? Angalia...

Jiwe kamuacha
Nyerere kaacha
Che nkapa kaacha
Mobutu
Maiga
Wewe usicheze na ke.iko siku..

wamebaki waislamu tu wafuga majini mfano.
Mwinyi
Kikwete
Buhari
Salmini amour nk
sasa weye jidai na yesu wako mzungu huyo uone moto.unajua alichoongea hawa na shetani pale bustanini?
 
Jamani nyie! Kwanza naipenda hii platform kwasababu ya anonymity feature!

Ila kwanini wanaume ni heartless sana? Inakuaje unamtafuta mwanamke miaka kama minne straight pale anapokupa nafasi unaanza kuzingua?

Na mimi jamani nifanyaje!? Mimi ni introvert with few friends. Na ratiba zangu mm ni kazini to home to dukani to kanisani na sehemu zote hizi zipo karibu karibu ni kitendo cha kutembea tu kwahiyo ni ngumu mimi kukutana na watu wapya.

Point ni kwamba kwa lifestyle yangu ni ngumu mimi kukutana na mtu mpya ambae naweza kuanzisha nae mahusiano! Maana hata niliokuwa nae kwenye mahusiano ni wale niliosoma nao na kazini idadi kubwa ya wafanyakazi wenzangu ni watu wazima.

Mahusiano yangu marefu yalikuwa ya miaka mitano yakaisha 2019 mwishoni, huyu jamaa aliyenisumbua almost miaka minne nikaanza nae mahusiano July/August akaanza kuzingua inshort naona hana muelekeo wa kuwa serious na mm ctaki kupoteza tena muda, hili suala limeniwazisha sana nikasema hapana mbona kuna platform naweza pata ushauri mzuri.

Kwahiyo jambo langu hilo mnipe mawazo yenu. Kwa lifestyle yangu je nina usalama wowote juu ya mahusiano?

Na nifanyaje?

Sijui nimeeleweka jmn? Maana nimeandika nikiwa kwenye panic mode! Najiwazia sijipatii jibu.

Dada zangu na kaka zangu msaada wenu tafadhali.
Amesharogwa huyo!! jua kabisa wanawake hampendani!! wanamtaka au wanataka uwe km wao!! hasa km hujui kumtambikia mume lazima itakula kwako!

wenzako wana uchawi wa asili wa kitulizo cha Mume sasa wewe endelea na ujinga wako huo wa kujiuliza viswali vya kitoto!! njoo nikufundishe wenzako wanavo fanya nakuwekea taatibu na

utawajua wabaya wako wote!! tena waweza kuta ni ndg wa karibu hutaamini macho yako! halafu tuna geuza mchezo inakula kwao!!! njoo jioni!! sababu dawa yenyewe tuna fanyia Makaburini!! toroka tu uje!

zaidi ya hapo hatuna msaada na weye ataondoka mazimaaaaa
 
Mwanaume akiwa hayupo ndani ya Yesu lolote linaweza kutokea wakati wowote.
 
Amesharogwa huyo!! jua kabisa wanawake hampendani!! wanamtaka au wanataka uwe km wao!! hasa km hujui kumtambikia mume lazima itakula kwako!

wenzako wana uchawi wa asili wa kitulizo cha Mume sasa wewe endelea na ujinga wako huo wa kujiuliza viswali vya kitoto!! njoo nikufundishe wenzako wanavo fanya nakuwekea taatibu na

utawajua wabaya wako wote!! tena waweza kuta ni ndg wa karibu hutaamini macho yako! halafu tuna geuza mchezo inakula kwao!!! njoo jioni!! sababu dawa yenyewe tuna fanyia Makaburini!! toroka tu uje!

zaidi ya hapo hatuna msaada na weye ataondoka mazimaaaaa

Kuloga tena! ! Wacha apite hivi
 
Mhhh! Ngoja nitafute aliye ndani ya Yesu chap kwa haraka! Au nielekeze wapi nitampata
Kabisa Yesu ndiye pekee anayeweza kutufungia sisi wanaume 'spidi gavana' na kutuset tuwe na mahaba yasiyokauka kwa ajili yenu.Achana na mahaba feki yale ya kukonyeza kama saa ya kimulimuli.Mahaba ya kuzama na kuchomoza kama jua.Mahaba ya uongo yale ya kuchanua na kunyauka kama ua saa sita.Ukiiukuta moyo wa Mwanaume ulionakshiwa kwa Pendo la Kristo nakuhakikishia utashindwa kulizuia chozi la furaha mashavuni kwako.Halafu nikwambie siri huku kwa Yesu huwa hatutafuti wenza huku huwa tunaletewa tu.Ukiona mtu anasema yupo ndani ya Yesu halafu eti yupo bize kutafuta sijui mchumba sijui nini basi tambua wazi kwamba nafsini mwa mtu huyo kuna shida mahali tena sio ndogo.Na hapo ndipo ilipo tofauti kati ya 'mtoto wa familia' na 'mtoto wa kambo'.
 
hio nikawaida kwangu pia nikifukuzia dem mda mrefu.hua najikuta natamani kumlipizia kisasi cha usumbufu.hio tunaita arsenal kabeba kombe
 
Nimekupenda bure kwakweli.......
haswaaa ndani ya Yesu raha sana
 
Nimekuelewaa
Duh bas safari ndefu sjui mm ni mtoto wa kambo
 
Uko ni kupoteza muda bro! Hiyo ishu hata ikimuumiza mwanamke bas haitochukua haata mda mrefu kuliko ww uliyeugulia kwa mda mrefu had kumpangia kisasi
 
Saaaana!.Kulielewa hili ukiwa nje ya Yesu ni ngumu sana.Watu wanajitaabisha bure tu eti "Natafuta mchumba awe na sifa hizi".Sooo sad!

Ss unadhani wote watapata wenza kupitia njia hiyohyo jmn! Wengine mpk wafaanye public announcements
 
Nimekupenda bure kwakweli.......
haswaaa ndani ya Yesu raha sana
Imagine kuna mke wa mtu huku mtaani amekomaa anataka namba yangu ya simu kwa muda mrefu sasa licha ya kumwambia mapema kabisa kwamba mimi ni mume wa mtu ambaye sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu kabla na hata baada ya kuoa na ni jambo ambalo hata kuliwazia tu huwa siliwazii.Spidi gavana ya Yesu si mchezo.Ye mwenyewe yupo bize kumbe mi namuona kama Dada yangu wa tumbo moja kabisaaa.Kwa mfululizo wa vishawishi ninavyokutana navyo bila Yesu hakika Mke wangu angenikosa!
 
Nimekuelewaa
Duh bas safari ndefu sjui mm ni mtoto wa kambo
Yaani huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu wanaodhani kwamba wanaweza kujitaabisha kudeal na mambo ambayo yapo nje ya uweza wao wa kibinadamu kama hili la kutafuta mchumba.Unatafuta mchumba, haya mfano amejitokeza mchumba ana sifa zote uzitakazo laki ni boonge la mchawi je,utampima kwa kipimo gani?.
 
Imagine kuna mke wa mtu huku mtaani amekomaa anataka namba yangu ya simu kwa muda mrefu sasa licha ya kumwambia mapema kabisa kwamba mimi ni mume wa mtu ambaye sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu kabla na hata baada ya kuoa na jambo ambalo hata kuliwazia tu huwa siliwazii.Spidi gavana ya Yesu si mchezo.Ye mwenyewe yupo bize kumbe mi namuona kama Dada yangu wa tumbo moja kabisaaa.Kwa mfululizo wa vishawishi ninavyokutana navyo bila Yesu hakika Mke wangu angenikosa!
Dha... kweli kuwa ndani ya Yesu ni neema ya ajabu, ndio maana twapaswa kushukuru kwa kila jambo...
 
Back
Top Bottom