Kwanini Wanaume wana roho ngumu sana? Ngachoka!

Ningekuwa mwanaume ningefanya hivyo hivyo pia.

Miaka minne unamzungusha!!!??

Umeachana na mtu wako ndio unamkubalia!?

Kwamba yeye ndio plan B!?

Mimi ningekupa na mimba kabisa ikifika miezi 9 ndio nakuacha.
 
Niwe muwazi, hata ingekuwa mimi ningefanya kama alivyofanya jamaa. Hauwezi ukanisumbua muda wote huo halafu eti nisilipize kisasi. Tena mimi ningekupiga tukio kubwa kwelikweli hadi ungeandika jina langu kwenye ukuta wa chumba chako. Siku nyungine usirudie.
Ungefika kwa mpalange nini!!!! .... hahah
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
me mwenye ishawahi nitoke demu alinizungusha kwa zaidi ya mika mitatu na dharau juu eti hutuendani, baadae tukakutana dar akijileta mwenyewe

Tukakubalia akaja om nikampiga show kali, akanza kuniambia anatamani kuolewa umri wake umeenda, nikamwambia usijali. nikajisema asiye funzwa na ***** ata-funzwa na ulimwengu sasa ngoja nimuoneshe huyu biti mim ndiyo wale walimwengu. basi akawa ananipigia simu kila muda, sms ndiyo haziisha mfano wew ndiy mwanaume wa ndoto zangu, mara wew ni handsome sana, akasahau miaka mitatu nyuma alishaniambia hutuendani mio sio hadhi yake.

nikasema sasa ngoja nikuandalie maumivu makali ili unikumbuke vizuri ata ukisema wanaume wote umbwa uwe na sababu.
kwanza nikaaza kumtambulisha kwa rafiki zangu pia akanitambulisha kwa rafiki zake, nikawa na mnunulia zawadi na outing za kutosha, baadae akanipeleka kwao, nikamvisha peta ya uchumba mbele ya watu wengi.

usiku wake nikapiga shoo kali demu akawa anaropoka tu kwanin hukunikubalia mapema, basi kesho yake asubuhi nikamwabia unakumbuka ulishawahi kuniambia hutuendani hana cha kujibu nikamwabia ndiyo hivyo kweli hutuendani na leo ndiyo mwisho Wang me na wew akaniuliza kwanin ulinifanyia yote na ulikuwa hunipendi nikamjibu nilikuwa nataka nilipize kasasi vizuri ili unikumbuke
Hii kali ya mwaka. Hatakusahau kamwe
 
Mi nafikiri nimekuelewa vizuri sana - kama nime mis interprete then utanisamehe though nitakachoongea kinaweza kukusaidia.

  • There is always the survival for the fittest ama eat or be eaten rule, hivyo pambana, be aggresive and if is to change then change haraka sana coz time is the only main limiting factor.
  • Nature huwa haina huruma, pamoja na quality zako zote unazozijua usipochukua hatua sahihi kwa wakati sahihi now then utakuja kujilaumu later
  • Kwa sasa, kigezo kikuu cha kupata mwenza wa maisha ni IQ na si urembo ama life style, IQ ni wastani wa uwezo wako wa jumla wa kuchanganua mambo na kutatua changamoto i.e. So saying, yote uliyoyasema can be compensatedna vitu vingine vizuri zaidi
  • Mwisho, hakuna mwanaume hata mmoja hasa wa kikristo anayeoa kwa bahati mbaya. Tunaoa tu pale ambapo tuna amini jumla ya tutakachokipata hatuwezi kupipata sehemu yoyote ile, so be very open minded na usiache kumweka MUNGU mbele

Sijui umenielewa????!!!
Ya kikubwa Sana hii
 
Enhee...atleast nimepata ninayeendana naye akili.
mkuu naomba ushauri:
Nilikuwa na dem ambaye nilifukuzia miaka mitatu na alikua anazingua kwa pigo za ooh hatuendani dini,mimi ni bikra inabidi kwanza ubadili dini ndo unioe kwanza ndo sex baadae blah blah blah kibao.
Long story Short Last year nikabandua mara kadhaa na sikukuta seal yoyote...nikampotezea.
Sasa nayeye akawa ananilalamikia kama mtoa mada ila nikawa nampiga fix na mikausho zaidi..Sasa yeye hajui kumbe mara ya mwisho kukutana naye nilichukua simu yake nikaikagua nikagundua tupo wengi..kama watatu ivii,,nikachukua no. za washkaji zake wengine nikasev mahala nikakausha...sikumuambia maana niliamua nimemuweke tu kama pusy ya emergency

Sasa Recently kaanza kunitafuta baada ya kumpotezea muda mrefu anataka ndoa mara nibadili dini etc....nikaamua kumchana ukweli bhana mimi nilistick hiyo miaka yote ili nibandue tu maana niliona ningequit nisingegain chochote(nilisema hivi kama Revenge ya kwanini alikuwa ananipaki kumbe ana m/washkaji.)

Sasa kumbe akakasirika na akaanza visa kunifanyia kama revenge nione wivu.
Mfano revently anapost status ya mwanaume anaanza kumsifu my hubby my Everthing nk.
Sometimes jamaa akimpost, yeye anascreenshot anapost tena nione..
nlichogundua huyu jamaa nilishaga chukua no. yake nilipokagua simu yake mwaka jana maana amemsevu vile vile

Sasa ukweli mimi sina wivu wala nini maana huyu dem aliponizungushaga tu mwezi na upendo ukapepea ila kwasabab alinipotezea muda na sasaivi anavimba isitoshe jamaa anayempost ni mwanaume kama mimi nataka nipige ndege wawili kwa jiwe moja...Yaani nimuokoe huyu jamaa ambaye tulikuwa tunachanganywa naye halafu nimfanyie double revenge huyu dem au unanshauri nifanyeje?
Binafsi, linapokuja swala la kisasi kwa mwanamke as long as huyo mwanamke sihitaji kuwa naye tena kisasi huwa ni mara moja tu. Hii ni kwa sababu ukiendelea kujibizana mapigo na mwanamke inaonekana kama nitakuwa nashindana na mwanamke kitu ambacho kwangu haki-sound poa.

Kwenye hiyo scenario yako ni waxi huyo demu maneno yalimuuma na anafanya hivyo kwa nia mbili,

i) ili uone kwamba hata asipokuwa na wewe kuna wana kibao wana-rock naye. Ni kama mpango wa kukufanya uone wivu. Akiamini kufanya hivyo kutatuliza maumivu yake.

ii) Ni mtego ili ujichanganye kwa namna yoyote akupige tukio wewe....kwa hiyo ili apunguze machungu.

Kwa hiyo maoni yangu ni kuwa, vunga kama hakuna kinachoendelea. Kama ni status una view kama kawaida ila usijibu chochote, si kwa emoji wala maneno yaliyokaa ki-positive au ki-negative. Hii itamuumiza zaidi na kwangu mimi hii ndo double revenge nzuri kwa sababu anafanya hivyo ili akuchokoze.

Ila kama unataka kumpiga tukio ambalo litabaki kama ukumbusho, subiri ikitokea siku akaleta kwato zake tena, unambutua then baada ya kumaliza kugegeda unamtemea shit za kutosha na unamwambia avae haraka asepe.
 
me mwenye ishawahi nitoke demu alinizungusha kwa zaidi ya mika mitatu na dharau juu eti hutuendani, baadae tukakutana dar akijileta mwenyewe

Tukakubalia akaja om nikampiga show kali, akanza kuniambia anatamani kuolewa umri wake umeenda, nikamwambia usijali. nikajisema asiye funzwa na ***** ata-funzwa na ulimwengu sasa ngoja nimuoneshe huyu biti mim ndiyo wale walimwengu. basi akawa ananipigia simu kila muda, sms ndiyo haziisha mfano wew ndiy mwanaume wa ndoto zangu, mara wew ni handsome sana, akasahau miaka mitatu nyuma alishaniambia hutuendani mio sio hadhi yake.

nikasema sasa ngoja nikuandalie maumivu makali ili unikumbuke vizuri ata ukisema wanaume wote umbwa uwe na sababu.
kwanza nikaaza kumtambulisha kwa rafiki zangu pia akanitambulisha kwa rafiki zake, nikawa na mnunulia zawadi na outing za kutosha, baadae akanipeleka kwao, nikamvisha peta ya uchumba mbele ya watu wengi.

usiku wake nikapiga shoo kali demu akawa anaropoka tu kwanin hukunikubalia mapema, basi kesho yake asubuhi nikamwabia unakumbuka ulishawahi kuniambia hutuendani hana cha kujibu nikamwabia ndiyo hivyo kweli hutuendani na leo ndiyo mwisho Wang me na wew akaniuliza kwanin ulinifanyia yote na ulikuwa hunipendi nikamjibu nilikuwa nataka nilipize kasasi vizuri ili unikumbuke
Chai
 
Enhee...atleast nimepata ninayeendana naye akili.
mkuu naomba ushauri:
Nilikuwa na dem ambaye nilifukuzia miaka mitatu na alikua anazingua kwa pigo za ooh hatuendani dini,mimi ni bikra inabidi kwanza ubadili dini ndo unioe kwanza ndo sex baadae blah blah blah kibao.
Long story Short Last year nikabandua mara kadhaa na sikukuta seal yoyote...nikampotezea.
Sasa nayeye akawa ananilalamikia kama mtoa mada ila nikawa nampiga fix na mikausho zaidi..Sasa yeye hajui kumbe mara ya mwisho kukutana naye nilichukua simu yake nikaikagua nikagundua tupo wengi..kama watatu ivii,,nikachukua no. za washkaji zake wengine nikasev mahala nikakausha...sikumuambia maana niliamua nimemuweke tu kama pusy ya emergency

Sasa Recently kaanza kunitafuta baada ya kumpotezea muda mrefu anataka ndoa mara nibadili dini etc....nikaamua kumchana ukweli bhana mimi nilistick hiyo miaka yote ili nibandue tu maana niliona ningequit nisingegain chochote(nilisema hivi kama Revenge ya kwanini alikuwa ananipaki kumbe ana m/washkaji.)

Sasa kumbe akakasirika na akaanza visa kunifanyia kama revenge nione wivu.
Mfano revently anapost status ya mwanaume anaanza kumsifu my hubby my Everthing nk.
Sometimes jamaa akimpost, yeye anascreenshot anapost tena nione..
nlichogundua huyu jamaa nilishaga chukua no. yake nilipokagua simu yake mwaka jana maana amemsevu vile vile

Sasa ukweli mimi sina wivu wala nini maana huyu dem aliponizungushaga tu mwezi na upendo ukapepea ila kwasabab alinipotezea muda na sasaivi anavimba isitoshe jamaa anayempost ni mwanaume kama mimi nataka nipige ndege wawili kwa jiwe moja...Yaani nimuokoe huyu jamaa ambaye tulikuwa tunachanganywa naye halafu nimfanyie double revenge huyu dem au unanshauri nifanyeje?
Endelea ....
 
Mwanamke akikupenda kwel hachukui week moja lazima akukubalie hata kama ni mke wa mtu....(toa wadangaji)

Ukiona mwanamke anachukua muda mrefu kukubali ujue hakufeel wala nin ila wew ndo unafosi..na badae akikukubalia ujue kakubal for a reason..

Mim huwa si waste time na mwanamke kabisa...sabab nishajuaga saikolojia yao
 
Miaka minne unafikiria jamaa alikua anakusubiri tu huenda mwanzoni alikua serious sana na wewe ila alivyoona unazingua akawa anaendelea kukutafuta akijua siku utaingia tu king atakunyandua then ataendelea na maisha yake na kweli ukajaa mission ya jamaa imeisha.
Siku nyingine usimsumbue mtu kwa mda mrefu hivyo.
Point,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake huwa wanajiona kama wao ni special sana,mfano wa mtoa mada kwa ulichokiandika na bado huoni kosa lako bali unaona jamaa ndie mwenye makosa hadi unataka tukushauri!!
Kila jambo na wakati wake ,ulicheza hovyo na wakati wako na hukusoma hata alama za nyakati,,
Hivi miaka minne bado unafikiria mtu aliyekuwa anakutongoza bado atakuwa anakusubiri wewe tu!!!
Kwa vile hiyo K unayo wewe tu au ulifikilia nini ?au ulimuonea huruma baada ya mambo yako kwenda mlama,,
Ukipendwa pendeka,,nampongeza sana jamaa kwa kipiga na kusepa
Kwamba miaka mnne nae alikuwa Hana Jamaa kweli, alikuwa anajamaa Ila kaficha baada ya kutendwa , akaamua kumkubalia Jamaa aliyemtongoza kwa miaka minne nae ka hit and run.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakataga tamaa tukikufuatilia sanaaa,siku umekubali nakukula then huna thamani tena.Hata mie demu nikimfuatilia sanaaa anakuja kuwa hana thamani.
 
Kuna binti mmoja niliwahi kumfukuzia toka 2017 akawa anazingua Mara nimpigie simu hapokei nikampotezea Mara 2020 hii hapa akaanza nitafuta nikakumbushia suala la papuchi akawa na ile sitaki nataka Mara anataka nimuoe nikamwambia poa ntakuoa siku moja akajichanganya akaja nikachakata papuchi akanogewa akawa anapiga simu kila Mara make mm nilimuona hana maajabu nikataka nimpige chini siku hiyo hiyo ila akawa anaforce nikasema ngoja twende naww hadi akolee then najitoa
Basi nikaendelea kumchakata mpaka pale nilipogundua huyu tayari kakolea make alianza kunambia Mara nimuoe nikawa namchora tu siku moja nikamwambia Mimi nawewe naona tuishie hapa hakuamini nikamuweka blacklist akawa analia tu Ila ndo hvo alichezea bahati
 
me mwenye ishawahi nitoke demu alinizungusha kwa zaidi ya mika mitatu na dharau juu eti hutuendani, baadae tukakutana dar akijileta mwenyewe

Tukakubalia akaja om nikampiga show kali, akanza kuniambia anatamani kuolewa umri wake umeenda, nikamwambia usijali. nikajisema asiye funzwa na ***** ata-funzwa na ulimwengu sasa ngoja nimuoneshe huyu biti mim ndiyo wale walimwengu. basi akawa ananipigia simu kila muda, sms ndiyo haziisha mfano wew ndiy mwanaume wa ndoto zangu, mara wew ni handsome sana, akasahau miaka mitatu nyuma alishaniambia hutuendani mio sio hadhi yake.

nikasema sasa ngoja nikuandalie maumivu makali ili unikumbuke vizuri ata ukisema wanaume wote umbwa uwe na sababu.
kwanza nikaaza kumtambulisha kwa rafiki zangu pia akanitambulisha kwa rafiki zake, nikawa na mnunulia zawadi na outing za kutosha, baadae akanipeleka kwao, nikamvisha peta ya uchumba mbele ya watu wengi.

usiku wake nikapiga shoo kali demu akawa anaropoka tu kwanin hukunikubalia mapema, basi kesho yake asubuhi nikamwabia unakumbuka ulishawahi kuniambia hutuendani hana cha kujibu nikamwabia ndiyo hivyo kweli hutuendani na leo ndiyo mwisho Wang me na wew akaniuliza kwanin ulinifanyia yote na ulikuwa hunipendi nikamjibu nilikuwa nataka nilipize kasasi vizuri ili unikumbuke
Kapime alishabeba ngoma kaja kukuletea

Pia pesa si ulikuwa unatoa pete c ulitoa hela bas huna tofaut na mtu alienunua penzi
 
M

Kama Ni kweli, Mzee hukufanya vizuri.. Kisasi Siyo kitu kizuri hasa kwenye mambo ya Mapenzi. Hujui umemuumiza kiasi gani na pia kesho yako huijui. Unaweza kukosa Kabisa Mwanamke wa Maisha yako akawa Yule ambaye ndiyo uliomlipiza Kisasi Ana nafuu.. Kikubwa usichukulie maanani kauli za wanawake, Huwa wana maneno ya kuudhi Sana na Mengi huwa hayatoki moyoni Ni kuropoka tuu.
 
Back
Top Bottom