Kwahiyo hujui kwann huwa unaficha?Hili swali lipo juu ya uwezo wangu, ngoja niache nafasi watu watirirke[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Uliona lini nyani kaona kundule lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo hujui kwann huwa unaficha?
Una maanisha wanamichupuko mingi ?Kwa sababu hawapendi mgogoro wa ki ndoa .....
Ni yake wala sina shobo nayoNa mkeo akificha utamuelewa kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakumbuka miaka ya zamani wife aliomba kupiga simu, kupitia simu yangu nikampa aivyomaliza akajifanya anapekuwa sms hakuzikuta, maana majina ni yakiume lakiniUkitaka kuishi maisha marefu acha kufuatilia simu ya mume . Ikiita jifanye hujasikia.
Nakushauri upunguze wivu mtaishi vizuri na mwenza wako usipende kushika simu yake kama hajakupa utaishia kupata stress bureWanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.
Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.
Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia
Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?
Mara nyingi wanawake kadhaa upenda kujua kila SMS au call inatoka kwa nani .. Ivo ivo kwa wanaume upenda kufatilia SMS au call .. Na mwisho mabishano yasiyo kuwa na tija na kusababisha migogoroHiyo migogoro inataka wapi?
Hata mimi napita kimyakimya Moneytalk atakuja kulijibu mkuu![emoji124][emoji124][emoji124]Hili swali lipo juu ya uwezo wangu, ngoja niache nafasi watu watirirke[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]