Kwanini wanaume tunalalamika zaidi katika mapenzi?

Kwanini wanaume tunalalamika zaidi katika mapenzi?

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
396
Reaction score
1,089
Habari wana jamii,

Nimekuwa nikiona humu ama katika maisha halisi wanaume tumekuwa tukilalamika zaidi kuhusu wanawake katika mapenzi. Iwe kwenye ndoa ama mapenzi tu yakawaida, wengi utakuta wanaume ndio walalamikaji juu yavitendo vya wanawake.

Nimeshakaa na watu wenye ndoa zao na wamenionya kuhusu wanawake kuwa wanatabia fulanifulani za kukera,pia wamekuwa wakinihadithia matukio walioshuhudia ambayo yalileta sintofahamu katika ndoa za watu na walalamikiwaji ni jinsia ke!.

Wanawake nini shida? Wanaume mliooa kuna nini huko ndani mpaka malalamiko mengi yaangukie kwa wanawake tu?
 
Zamani wanawake walipokuwa wanalalamika wakati wanaume wamekaa kimya tuliambiwa walalamikaji siku zote ndiyo wenye makosa! Ila tu huwa wanakimbilia kulalamika ili kutafuta huruma na waonekane kuwa wao ndiyo victims!

Leo hii wanaume ndiyo wanaongoza kwa kulalamika huku wanawake wamekaa kimya! Sasa sijui bado watakuja na kauli hiyo hiyo kuwa siku zote walalamikaji ndiyo wenye makosa au watabadili kauli kuwa sasa walalamikaji ni kweli wanaonewa!
 
Wewe ndio unalalamika kwasababu una kibamia na huna hela! Na nadhani we ndio maskini na kibamia pekee humu JF.
 
Zamani wanawake walipokuwa wanalalamika wakati wanaume wamekaa kimya tuliambiwa walalamikaji siku zote ndiyo wenye makosa! Ila tu huwa wanakimbilia kulalamika ili kutafuta huruma na waonekane kuwa wao ndiyo victims!

Leo hii wanaume ndiyo wanaongoza kwa kulalamika huku wanawake wamekaa kimya! Sasa sijui bado watakuja na kauli hiyo hiyo kuwa siku zote walalamikaji ndiyo wenye makosa au watabadili kauli kuwa sasa walalamikaji ni kweli wanaonewa!
The answer is B
 
Nahisi imekuwa kama FASHION wanaume kulalamika hii kitu inaniuzi sana

Sijuhi itakuwaje kizazi kijacho sijuhi itakuwaje nasema SIJUHI ITAKUWAJE
 
Kwa kweli wanaume kwa Sasa tunatawaliwa na wanawake hii ni mbaya Sana tunapoteza uhalisia wetu wa kiume
 
3019184_JamiiForums-204902884.jpg

Maliza kwanza kusoma hki kitabu then utakuja na majibu

Wanakera sana hawa viumbe
 
Back
Top Bottom