Kwani mleta mada bado tu hujasamehewa. Kwanza kwanini ulicheat hebu acha hizo ndio sisi hatusamehi sasa amua lingine na ukijifanya mjuaji tunapiga chiniii
Kwa kosa kama hilo, kumsamehe mwanamke ni ujinga wa hali ya juu sana. Ni wanaume wajinga tu wanaowasamehe wanawake kwa kosa kama hilo. Mwanamke hasamehewi bali huadhibiwa kwa kuachwa.