HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Jamani wana jf.
Nawapenda tena nawapenda sana.
Hakuna kitu inauma eh mwanaume anakulala halfu et anakuachia ka Elfu 50 na mabusubusu kedekede ,[emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana leo hii mwanaume kukupa hata Hela ya vocha Hamna tena hata elfu 10 jamani.
Kiukweli wanaume tunawapenda ila upendo umepoa maana hamuongi tena.
,[emoji849]Nyie ndo wakwanza kutusumbua kwa dm sasa sisi mb Twatoa wapi, outing mnatupeleka mlimani city kweli jamani tena unakuta unaenda kwa mwanaume anakupandisha daladala sasa atapata mapenzi kweli.
Mara ooh maisha magumu ,mara ohh sijui sina hela sasa nawauliza mbona mmepunguza kuhonga ila nabado mnatusumbua
Huyu "bidada" naona atakua ametolewa "matenga", Maana analaumu wanaume kama tuliingia mkataba nae😂 kama vipi nae awe mwanaume aanze kuhongaMuulize ana viwango?
Huwezi kununua pombe ya banana sawa bei ya whisky au wine😂😂😂
Hakuna mwanamke anauza .Kwani dau la kuuza mnawekaga shngap? Tuanzie hapo, alafu maswala ya kuhongwa yanatokea wapi na umeshalipwa hela ya kuliwa!!!?
Pia anajitangaza kuwa nimtoaji wa kila uwazi...najua umenielewaHuyu "bidada" naona atakua ametolewa "matenga", Maana analaumu wanaume kama tuliingia mkataba nae😂 kama vipi nae awe mwanaume aanze kuhonga
Janaume hilo wewe stukaHuyu "bidada" naona atakua ametolewa "matenga", Maana analaumu wanaume kama tuliingia mkataba nae[emoji23] kama vipi nae awe mwanaume aanze kuhonga
[emoji23][emoji23]Mtoa mada keshakopwa kitobo[emoji38]View attachment 2392217
Sasa utahonga kitu ambacho hauna?Hata ukikomaa kutafuta mahela unaambiwa "kwani ulizipoteza wapi"?Au "una uhakika ulizidondosha hilo eneo"?Tupeane tu kispoti!Jamani wana jf.
Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile eti Herufi kubwa wewe jinsia gani niseme tu haiwauhusu.
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya Leo Hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani.
Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba eh labda tuseme nyumba kitu kidogo wakina Harmonize wanahonga hadi range.
Hakuna kitu inauma eh mwanaume anakulala halfu et anakuachia ka Elfu 50 na mabusubusu kedekede ,[emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana leo hii mwanaume kukupa hata Hela ya vocha Hamna tena hata elfu 10 jamani.
Kiukweli wanaume tunawapenda ila upendo umepoa maana hamuongi tena.
,[emoji849]Nyie ndo wakwanza kutusumbua kwa dm sasa sisi mb Twatoa wapi, outing mnatupeleka mlimani city kweli jamani tena unakuta unaenda kwa mwanaume anakupandisha daladala sasa atapata mapenzi kweli.
Mara ooh maisha magumu ,mara ohh sijui sina hela sasa nawauliza mbona mmepunguza kuhonga ila nabado mnatusumbua
Dume hilo linajifanya demuHuyu "bidada" naona atakua ametolewa "matenga", Maana analaumu wanaume kama tuliingia mkataba nae😂 kama vipi nae awe mwanaume aanze kuhonga