lakin najua unatambua kuwa wanawake ndio weng kuliko wanaume........ Hebu nikuulize........ Ungejiskiaje kuona wanaume wote wametulia na wake zao wakat huo ww peke yako ndio hujaolewa na hakuna mwanaume yeyot anayekutongoza ungejiskiaje hapo?! Sisi tunafanya hvyo kuwaondolea stress wale ambao hawajaolew na waliotendwa ili na wao wajiskie kuwa wanapendwa. Kwahyo msitulaumu sana tupo kwaajili ya kuwapa moyo waliokata tamaa
Umeona eeh, tunatamani tutulie lakini tunachoka, unatamani ladha nyingine
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.
poa.nimefuta kauli...!
mambo vipi mchungaji? lols..
Mmmmh hat kama wanawake tupo weng hiyo sio tabia nzuri ya michepuko bora uoe ijulikane..mmezid tabia za kuchepuka...
Kama cijatongozwa au kuolewa fny it means ni mapenz ya Aliyeniumba...
Don't take granted kwa gals walioumizwa ukidhani kutembea nae ndo kumpunguzia machungu
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.
mkuu hvi kweli ww ipite miaka mitano hata hujatongozwa utajiskia vizr?? Hebu chukulia mpo kwenye sherehe anaitwa rafki yako pemben wana mpiga sound halaf ww upo umeachwa tu hakuna hata wa kukuomba namba ya simu utakuwa na hali gan? Kila siku wakuite shemeji hamna hata wa kukuita bby
I feel so gud kuitwa baby kwa anayemaanisha ....sio michepuko..
Chepuka as u can mwanaume lijali...cos wewe unapenda michepuko bila kuangalia hasara zake pata na wewe mwanamk mpenda totoz ili mechi iwe drooo lol
Yeah sio wote
mmmm! Sasa huko unakosea. Uliskia wapi fahar wawili wanakaa zizi moja?
As bad as kuficha pete zenu za kifungo cha ndoa mfukoniWadada ndo kuzidi manake hata wakiwa kwenye ndoa wanasema wako single. Na ukiwatongoza hawakatai.
Marahaba mdogo wangu za siku?
Ha ha ha mbavu zangu
Kumbe mkuki mtamu kwa nguruwe .....
Ha ha ha mbavu zangu
Kumbe mkuki mtamu kwa nguruwe .....