Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,467 Reaction score 185,641 Sep 14, 2024 #141 Mahondaw said: Hujajibu Ujue. Kwanini mnachepuka?? Click to expand... Sii tulishamaliza haya maswali... Hahaha...
Mahondaw said: Hujajibu Ujue. Kwanini mnachepuka?? Click to expand... Sii tulishamaliza haya maswali... Hahaha...
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,263 Reaction score 3,581 Sep 14, 2024 #142 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mjuane halafu mkanyongwe sio? Click to expand... Tukanyongwe na nani?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Sep 14, 2024 #143 Smart911 said: Sii tulishamaliza haya maswali... Hahaha... Click to expand... Sauuwa boss π
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,263 Reaction score 3,581 Sep 14, 2024 #144 Mahondaw said: Hujajibu Ujue. Kwanini mnachepuka?? Click to expand... Akikujibu nitag π€£π€£
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Sep 14, 2024 #145 Baba Kisarii said: Akikujibu nitag π€£π€£ Click to expand... Usiwaze π Cc Smart911
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 11,440 Reaction score 24,686 Sep 14, 2024 #146 Baba Kisarii said: Tukanyongwe na nani? Click to expand... Mwanaume lazima awe na wanawake zaidi 1 tofaut na Hilo ni tatizo kubwa mno kwako hujaumbwa hivyo
Baba Kisarii said: Tukanyongwe na nani? Click to expand... Mwanaume lazima awe na wanawake zaidi 1 tofaut na Hilo ni tatizo kubwa mno kwako hujaumbwa hivyo
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,263 Reaction score 3,581 Sep 14, 2024 #147 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mwanaume lazima awe na wanawake zaidi 1 tofaut na Hilo ni tatizo kubwa mno kwako hujaumbwa hivyo Click to expand... Huo ni mtazamo wako
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Mwanaume lazima awe na wanawake zaidi 1 tofaut na Hilo ni tatizo kubwa mno kwako hujaumbwa hivyo Click to expand... Huo ni mtazamo wako
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,263 Reaction score 3,581 Sep 14, 2024 #148 Mahondaw said: Usiwaze π Cc Smart911 Click to expand... Najua hawezi kukupa jibu π
Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,595 Reaction score 3,425 Sep 14, 2024 #149 Kwanini hamtaki kuukubali ukweli kwamba mwanamke mmoja sio asili ya mwanamume?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Sep 14, 2024 #150 Baba Kisarii said: Najua hawezi kukupa jibu π Click to expand... Amelimaliza kisiasa π! Cc Smart911
Baba Kisarii said: Najua hawezi kukupa jibu π Click to expand... Amelimaliza kisiasa π! Cc Smart911
M MONEY IS NOT EVERYTHING JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 1,431 Reaction score 1,974 Sep 14, 2024 #151 Kweli unakuta mwanamke umemuowa lakini anakupangia zamu ya kufanya tendo la ndoa..anaweza akakwambia kwa robo mwaka nakupa mara moja halafu yupo serious..ndo maana tunatafuta michepuko kwa ajili ya kuupoza moyo.
Kweli unakuta mwanamke umemuowa lakini anakupangia zamu ya kufanya tendo la ndoa..anaweza akakwambia kwa robo mwaka nakupa mara moja halafu yupo serious..ndo maana tunatafuta michepuko kwa ajili ya kuupoza moyo.
Bless mom JF-Expert Member Joined May 20, 2021 Posts 1,007 Reaction score 2,118 Sep 14, 2024 #152 Wenzetuuu mna hati miliki ya kuchepuka ktk mahusiano au ndoaa...hongereni Ila yajayoo yanafurahishaa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,364 Reaction score 108,510 Sep 14, 2024 #153 Atoto said: Wenzio wamesema wanachepuka sana tu, na mna hatimiliki ya kuchepuka. Click to expand... Wamekosea kusema hivyo...
Atoto said: Wenzio wamesema wanachepuka sana tu, na mna hatimiliki ya kuchepuka. Click to expand... Wamekosea kusema hivyo...
Chizi Jambazi JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,859 Reaction score 1,456 Sep 14, 2024 #154 Bi zandile said: Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka? Click to expand... mke anampa tiGo?
Bi zandile said: Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka? Click to expand... mke anampa tiGo?
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 11,440 Reaction score 24,686 Sep 14, 2024 #155 Baba Kisarii said: Huo ni mtazamo wako Click to expand... Sema wetu na wengine
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,050 Reaction score 23,757 Sep 14, 2024 #156 Lamomy said: Ila ww ss hivi unanifatilia sana πππ Click to expand... Hapana ni vile tu tunakutana kwenye uzi
Lamomy said: Ila ww ss hivi unanifatilia sana πππ Click to expand... Hapana ni vile tu tunakutana kwenye uzi
CHANANJA THE BIG DYNASTY JF-Expert Member Joined Sep 14, 2024 Posts 1,241 Reaction score 1,789 Sep 14, 2024 #157 chanzo cha yote ni, matatizo sugu yasiyotatulika ndani ya nyumba/ndoa.
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,263 Reaction score 3,581 Sep 14, 2024 #158 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Sema wetu na wengine Click to expand... Usilazimishe na wengine waingie kwa mtazamo wako
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Sema wetu na wengine Click to expand... Usilazimishe na wengine waingie kwa mtazamo wako
M Miss_Mariaah JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 2,243 Reaction score 5,140 Sep 14, 2024 #159 Bi zandile said: Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka? Click to expand... Mh
Bi zandile said: Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka? Click to expand... Mh
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,050 Sep 14, 2024 #160 Aisee