Huwa nawashauri wanaume wenzangu watulie kama mimi ila wao hawataki hapa jf wote wameoa na wanamichepuko zaidi ya 6 ila mi nipo singo najitunza kwaajili yako Bi zandile
Hulka za wanyama Na ndege ndo hulka za binadamu,umewahi kuona mnyama akawa na jike moja!? Kiumbe chochote Cha kiume kimeumbwa Kwa ajili ya kuzalisha yaani kuongeza uzao hivyo lazima kiwe na majike wengi ili kukuza uzao