Kwanini wanandoa wengi hawaogi pamoja?


Mhh, mie sijaolewa lkn sijawahi oga na man wangu!
 
Aaah choo chenyewe passport size, me nwenyewe sitosh.....tuoge wawili ya nn??
Mama nanii ebu niletee lapulapu langu nijisugue....
 
hahahaaaaa tisha sana mkuu jali mkeo bana
 

Wanaogopa wenzawao kwafananisha na michepuko. Sita kwa sita inatosha kujificha.
 
Kila jambo na wakati wake,mfano wakati wa uchumba alikuwa hajui namba yako ya siri ya atm card ila sasa anaijua na huwa ana kuwa na card yako at times.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…