-Wakaka pia huwacha wadada kwenye mataa, wakijua walikula sahani moja na rafiki/ndugu zao.
Its purely man's EGO, the minute akijua nani amekula and hasa ikiwa jamaa anamjua sio kwa sura bali wanamazoea atleast basi hakuna tena amani.kama ipo si ipo tu hata kama kala nani....afterall 'he loves best who loves last'...
Itakuwa duuh kumbe ninakula makombo ya yule F A L A
waswahili huwa wanadai eti 'haina makombo'...
Kuna principle moja ya saikolojia inasema kwamba kadri unavyoikaribia hatari ndivyo uoga unavyozidi kuongezeka. Sasa unakuta mtu anaogopa kuingia kwenye ndoa pengine anaogopa majukumu, hamfeel kivile mwenzi wake na sababu kedekede sasa mwanzoni anakuwa anaona ndoa iko mbali mno asiweze kuchukua hatua mapema kadri siku zikisogea uoga unamuongezeka siku ya ndoa unakuwa kwenye peak na kujikuta kasema 'hapana sijakubali'.
Uko sahihi. Mwanaume akishajua kwamba mchumba wake alishatembea na watu ambao kwa namna moja au nyingine watakuwa karibu yake(mwanaume) huwa anakosa amani. huwa anahisi hao jamaa walioisha mpitia wanamchora, kwani anakua hajui walikuwa wanamfanyiziaje. Mwanaume hawezi kuona raha anapokuwa amekaa sehemu na mwanamke wake halafu hapohapo kuna watu kadhaa walioisha mpitia mwanamke wake. Mwanaume anapenda awe ni yeye tu around ndio aliyepata. Na roho huwa haimuumi sana akisikia mwanamke wake ametembea na mtu wa mbali ambaye hatambuliki kwenye maeneo yake ya kujidai, akitokea mtu kwenye maeneo yake ya kujidai akatembea na mwanamke wake mwanaume huchanganyikiwa zaidi.Its purely man's EGO, the minute akijua nani amekula and hasa ikiwa jamaa anamjua sio kwa sura bali wanamazoea atleast basi hakuna tena amani.
Itakuwa duuh kumbe ninakula makombo ya yule F A L A
kama ipo si ipo tu hata kama kala nani....afterall 'he laughs best who laughs last'...
Hasa inapokuwa hakuna kipya unachokitarajia, kwa mfano tendo la ndowa umeshafanya nae mara kibao, ulishaishi nae siku nyingi kiasi kuwa kumleta nyumbani ni formality tu, hakuna kitu kipya unachohisi atakuja nacho kubadilisha maisha yako na zaidi ya yote unajuwa vipi anakunyima uhuru kujirusha.
Sasa wewe unaingia kwenye ndoa huku bado unataka kujirusha?
Note the correction.